Kikinga
JF-Expert Member
- Oct 6, 2015
- 2,098
- 2,002
Nenda YoutubeTupeni update wakuu.... Mapichapicha na mavideo
Nenda YoutubeTupeni update wakuu.... Mapichapicha na mavideo
AtufafanulieKuna msemaji hapo juu kasema kuna tetesi ndege ya Armenia aina ya SU-25 imetunguliwa na F-16 ya Uturuki so uturuki atakua upande wa Azbeijan.....bado sijaelewa
Ila kako vizuri kushinda armeniAIla Azerbaijan naona n ka nchi kadogo sana
Mambo yanapamba moto!!! Rais wa Russia amesema nchi yake itaheshimu makubaliano yake ya kiulinzi na Armenia, ingawa anasisitiza mapigano aachwe!!! Kuhusu mapicha na video nadhani wadau watafika nayo muda si mrefu!!!Tupeni update wakuu.... Mapichapicha na mavideo
Azerbaijan wanashambuliwa vibaya sana.Uturuki anaipa kiburi Azerbaijan.
Wew hizo taatifa umetoa wap au kwa kuwa armenia ipo upande wa urusi?pande zote lazima zitumie propaganda kishinda vita mkuu.Haipo hivyo, ukweli ni kwamba Azeri wanapoteza na wameshapoteza hii kwa Armenia. Wanachofanya Azeri na rais wao Ilham Aliyev ni kutoa false information. Walitoa fake news na kutangaza kimataifa kuwa rais wa Artasakh Arayik Harutyunyan kuwa wamemjeruhi kitu ambacho ni uongo bado ni mzima na si majeruhi kwa sababu huyu rais naye katia kombati anapambana.
Azer wamepoteza UAV 124, Helicopter 14, ndege 17, vifaru 368, Smerch 4 na wanajeshi waliyokufa 3154 na hii taarifa ni ya saa 14 zilizopita sijui kwa sasa hali ipoje! Jana hiyo hiyo wamepoteza airbase yao Ganja.
Azeri wakisaidiwa na Turkey wanarusha makombora mazito makazi ya raia wa Artasakh ajabu wanatumia na cluster munitions kwa raia. Hii vita ubaya wake imepewa taswira ni kama vita baina ya Waislam na Wakristo.
Asilimia 99% ya Azeri ni Waislam na Artasakh wakisaidiwa na Armenia asilimia 97% ni Wakristo. Ndiyo maana wapiganaji kutoka sehemu tofauti za dunia wameenda kujiunga na majeshi ya nchi hizo kwa kigezo cha dini.
Hii vita Azeri wanapoteza tena kwa aibu kubwa. Upo ushahidi mwingi unaozagaa kwenye mitandao ya kijamii ukionyesha kila uchwao maiti nyingi za wanajeshi wa Azeri zimezigaa na nyengine zinakusanywa na jeshi la Armenia.
Sure mkuuUmu amna wasemaje wa arz naona kuna wasemaji wa armenia tu ..ngoja niji tose[emoji23][emoji23]
SUBIRI KIDOGO
Nimejaribu kuufatiria huu mzozo hasa kupitia Dw Swahili tukiacha propaganda ukweli ni kwamba Armenia imezidiwa tena sana na ikicheza italipoteza hilo jimbo linalo gombaniwa.Uturuki anaipa kiburi Azerbaijan.
Niwaza propaganda! Huku unapigwa...si ni sawa na yamsemaji wa serikali ya Saddam Hussein kipindi kile!Wew hizo taatifa umetoa wap au kwa kuwa armenia ipo upande wa urusi?pande zote lazima zitumie propaganda kishinda vita mkuu.
Si kweli,Azebenjain wameteka maeneo.Ni kweli mkuu azarbaijan kapigika haswa
Russia angeumaliza mgogoro haraka kama Turkey asingejihusisha,,,hivi sasa inabidi aende taratibu maana hataki kumuudhi Turkey,Hizi zote zilikuwa makoloni ya russia. (urusi ya zamani). Hao ni ndugu tofauti ni tamaduni labda na lugha. Huu mgogoro wa kuumaliza ni russia peke yake. Maana wakizidi kwa jinsi navyojua siasa za ukanda huo, russia hachelewi kuzikalia na kuanza kuweka vibaraka wake . Wataanza kuongoza nchi kwa maagizo toka moscow
Hata mm nashangaa wanao sema eti Azebaijan imezidiwa lakini ukisikia taarifa kutoka vyombo vya habari vya kimataifa hali ni tofauti kabisa.Si kweli,Azebenjain wameteka maeneo.
View attachment 1594691
Armenia hana jimbo, bali hilo jimbo ni la wananchi wa Azerbaijan wenye asili ya Armenia ambao wanataka kujitenga. Armenia anawasaidia ki-ndugu tu wajitenge.Ukweli ni kwamba Armenia imezidiwa tena sana na ikicheza italipoteza hilo jimbo.
Bora leo nimekuona bwana elungata hivi zikipigwa kati ya iran na uturuki nani anaweza shindaRussia angeumaliza mgogoro haraka kama Turkey asingejihusisha,,,hivi sasa inabidi aende taratibu maana hataki kumuudhi Turkey,
Azbenjain wanasaidiwa na Turkey na israel,
Armenia angeweza kusaidiwa na Russia na pengine iran,ila sasa Russia na iran hawataki kumuudhi Turkey,
Armenia ni nchi ya ordhox christian,Azebenjain ni secular shia country,
Turkey aliwahi kuwa mtawala maeneo hayo enzi za ottoman empire,,hivyo anataka kurudisha influence yake huko
Sio kweliIla Azerbaijan naona n ka nchi kadogo sana
Hawawezi kupigana,turkey ana airforce,iran ana missiles,Bora leo nimekuona bwana elungata hivi zikipigwa kati ya iran na uturuki nani anaweza shinda
Walishaga jitenga,sasa Azebenjain anataka kurudisha ardhi yake,Armenia hana jimbo, bali hilo jimbo ni la wananchi wa Azerbaijan wenye asili ya Armenia ambao wanataka kujitenga. Armenia anawasaidia ki-ndugu tu wajitenge.