Mgogoro kati ya Armenia na Azerbaijan

Mgogoro kati ya Armenia na Azerbaijan

Hizi zote zilikuwa makoloni ya russia. (urusi ya zamani). Hao ni ndugu tofauti ni tamaduni labda na lugha. Huu mgogoro wa kuumaliza ni russia peke yake. Maana wakizidi kwa jinsi navyojua siasa za ukanda huo, russia hachelewi kuzikalia na kuanza kuweka vibaraka wake . Wataanza kuongoza nchi kwa maagizo toka moscow
Cremlin
 
Yani awa Azerbaijan hata sisi Tanzania tuna uwezo wa kuwapiga kabisa maana wana vifaa vizuri ila awana akili ya kuvitumia kabisa.
Ila hii vita inapoelekea naona kama kila upande utakuwa na majeshi ya kutoka taifa lingine maana jana inasemekana ndege ya Uturuki aina F-16 imetungua ndege ya Armenia aina ya Su-25.leo hii mfumo wa ulinzi wa anga wa Iran umetungua ndege ya Azerbaijan pasipo hata kutoa warning yoyote ile
Kudadeki hii vita ina mikono ya wababe wa mashariki ya kati...soon Russia ataingiza mkono wake na kama Iran kaingia basi Israel hakosi kuleta chokochoko zake
 
Azerbaijan anapata support kutoka Israel na Uturuki huku Armenia anapata Support kutoka kwa Urusi
Kuna msemaji hapo juu kasema kuna tetesi ndege ya Armenia aina ya SU-25 imetunguliwa na F-16 ya Uturuki so uturuki atakua upande wa Azbeijan.....bado sijaelewa
 
Leo kwenye taarifa ya DW ya 7:00 nimeisikia habari juu ya huu mzozo kwa mujibu wa taarifa hii inaoneka Armenia ndio iliyo poteza zaidi.
Unategemea adui wa mshirika wa Armenia ataandika habari nzuri za Amernia?

DW (Germany) wanajulikakana ni mpinzani was Russia, ongezea taarifa za ujerumani kutuhumu Urusi kumpa sumu mpinzani wa serikali ya Kremlin.

Hapo Vita ni NATO vs Russia kwa hivyo hiyo ni proxy war. Armenia na Azebeijan wanatumika bila kujijua.
 
Kuna msemaji hapo juu kasema kuna tetesi ndege ya Armenia aina ya SU-25 imetunguliwa na F-16 ya Uturuki so uturuki atakua upande wa Azbeijan.....bado sijaelewa
ili liko wazi mbona
israel & turkey wapo nyuma ya Azerbaijan
Russia ana sapot armenia
 
jamaa wana chapika tu ila vita ya teknolojia ya kipuuzi sana

hawa wanatumia drone ninyi mpo front utazan jamaa ana cheza game ana bofya tu kitufe watu wana tawa nyishwa kama vumbi
 
Azerbaijan ndio anachapika kumbuka vita inapigiwa ndani ya Azerbaijan na siku ya kwanza tu Armenia waliteka %20 ya eneo lenye mgogoro

hao Azerbaijan wanatumia pic za zamani kupigia propaganda tu
Sina upande lakini Inaonyeshea Armenia amechezea kichapo kitakatifu kabla ya Urusi kuingia kati, inavyosemekana usiku huu Ballistics zitatumika ila nahisi itawacost sana, kuna drone kama 4 mda huu za Azerbaijan zimepigwa mfululizo so inawezekana anga ya Armenia now itakua ngumu sana kushambuliwa
IMG_20201002_015901.jpeg
Screenshot_20201002-015843.jpeg
Screenshot_20201002-015231.jpeg
Screenshot_20201002-015208.jpeg
 
Kuna msemaji hapo juu kasema kuna tetesi ndege ya Armenia aina ya SU-25 imetunguliwa na F-16 ya Uturuki so uturuki atakua upande wa Azbeijan.....bado sijaelewa
Ndio Armenia anatumia SU-25 za mrusi na Azerbaijan anasupport ya Uturuki ambae ana F-16
 
Tatizo ww kila sehemu huwa unaongozwa na ushabiki wa kijinga badala ya uhalisia.
Russia anamktaba wa ulinzi na Armenia. Pia Ana military base ndani ya Armenia hivyo Azerbaijan awe makini asiende ovyo ovyo katika hii vita. Ingawa Azerbaijan ana nguvu kubwa ya kila njanja (uchumi, jeshi, n. K) dhidi ya Armenia awe makini asikurupuke.

Ukiangalia kijuu juu unaweza kufikiri mgogoro huu ni wa baina ya nchi hizo mbili - binafsi naona conflict hii inakuwa instigated na mataifa ya magharibi wakiwa na lengo ya kuingiza Urusi kichwa kichwa i.e iwe na war fronts mbili, namely:Syria na Armenia na ikiwezekana wafanye mbinu za regime change huko Armenia na kuondoa military base ya Warusi na kuiingiza Armenia kwenye alliance ya NATO, mwisho wa siku NATO watimize lengo lao la siku nyingi la kuzingira mipaka ya Urusi.
 
Good anaysis asee...mabeberu wakipambana leo jua vita imepangwa muda sana
 
Kudadeki hii vita ina mikono ya wababe wa mashariki ya kati...soon Russia ataingiza mkono wake na kama Iran kaingia basi Israel hakosi kuleta chokochoko zake
Hii mechi tamu sana
 
Yeah ni mapande ya Urusi yale
Azeri anachezea kichapo sana mheshimiwa. Dakika chache zilizopita airbase yao Ganja imeshaharibiwa na kuchukuliwa na Armenia. Azeri wana target civilian. Wanachikifanya Azeri ni propaganda kuonyesha wanawapa dozi mahasimu wao lakini si kweli.
 
Back
Top Bottom