Mgogoro kati ya Armenia na Azerbaijan

Mgogoro kati ya Armenia na Azerbaijan

Na mpaka sasa hakuna hata risasi moja iliyorushwa kuelekea Jamhuri ya Armenia.
 
150 high ranking turkish officers wanasaidia mapambano upande wa Azeri.
 
Na hapo ukumbuke urusi bado hajaingia kwa uwazi kuwasaidia Armenia
Azeri anachezea kichapo sana mheshimiwa. Dakika chache zilizopita airbase yao Ganja imeshaharibiwa na kuchukuliwa na Armenia. Azeri wana target civilian. Wanachikifanya Azeri ni propaganda kuonyesha wanawapa dozi mahasimu wao lakini si kweli.
huu ni msafara wa uturuki kuwapelekea Azerbaijan
 
Azeri anachezea kichapo sana mheshimiwa. Dakika chache zilizopita airbase yao Ganja imeshaharibiwa na kuchukuliwa na Armenia. Azeri wana target civilian. Wanachikifanya Azeri ni propaganda kuonyesha wanawapa dozi mahasimu wao lakini si kweli.
Yeah before walikua, sasaivi anachezea kichapo
 
Haipo hivyo, ukweli ni kwamba Azeri wanapoteza na wameshapoteza hii kwa Armenia. Wanachofanya Azeri na rais wao Ilham Aliyev ni kutoa false information. Walitoa fake news na kutangaza kimataifa kuwa rais wa Artasakh Arayik Harutyunyan kuwa wamemjeruhi kitu ambacho ni uongo bado ni mzima na si majeruhi kwa sababu huyu rais naye katia kombati anapambana.

Azer wamepoteza UAV 124, Helicopter 14, ndege 17, vifaru 368, Smerch 4 na wanajeshi waliyokufa 3154 na hii taarifa ni ya saa 14 zilizopita sijui kwa sasa hali ipoje! Jana hiyo hiyo wamepoteza airbase yao Ganja.

Azeri wakisaidiwa na Turkey wanarusha makombora mazito makazi ya raia wa Artasakh ajabu wanatumia na cluster munitions kwa raia. Hii vita ubaya wake imepewa taswira ni kama vita baina ya Waislam na Wakristo.

Asilimia 99% ya Azeri ni Waislam na Artasakh wakisaidiwa na Armenia asilimia 97% ni Wakristo. Ndiyo maana wapiganaji kutoka sehemu tofauti za dunia wameenda kujiunga na majeshi ya nchi hizo kwa kigezo cha dini.

Hii vita Azeri wanapoteza tena kwa aibu kubwa. Upo ushahidi mwingi unaozagaa kwenye mitandao ya kijamii ukionyesha kila uchwao maiti nyingi za wanajeshi wa Azeri zimezigaa na nyengine zinakusanywa na jeshi la Armenia.
 
Kama mukitaka video niambieni niwaketee !
 
Ninavojua huu mtanange hauna cha refa wala kibendera hapo pande zote mbili ni kupigika haswaaa maana mashambulizi dzain ya kuviziana.....mwisho wa siku naona kotekote kuna maumivu tukiacha ushabiki.
 
Hali unaendelea kuwa mbaya kwa Azerbaijan leo wamepoteza maafisa wawili waandamizi wa jeshi kwenye shambulio moja

pia kuna tetesi ndani ya uturuki kuwa askari 7 wa special force wa uturuki wameuwawa kwenye hilo shambulio
 
Naona Israel kajipenyeza tayari, Hapo Iran inabidi akae Chonjo.
 
Yani awa Azerbaijan hata sisi Tanzania tuna uwezo wa kuwapiga kabisa maana wana vifaa vizuri ila awana akili ya kuvitumia kabisa.
Ila hii vita inapoelekea naona kama kila upande utakuwa na majeshi ya kutoka taifa lingine maana jana inasemekana ndege ya Uturuki aina F-16 imetungua ndege ya Armenia aina ya Su-25.leo hii mfumo wa ulinzi wa anga wa Iran umetungua ndege ya Azerbaijan pasipo hata kutoa warning yoyote ile
Tukumbuke pia Russia ina makubaliano ya kiulinzi na Armenia.Pia Russia ana base huko Armenia. Hii habari ya Irani nilikuwa sijaipata! Naomba link mkuu.
 
hawa ni wavamizi waliingia eneo ambalo si lao waka weka makazi mwenye eneo amesema sasa basi ndo maana wamegoma kukaa kuzungumza uyu armenia anapaswa kutoka mahali apo
Hivi utasema wamasai ama wajaluo wamevamia Kenya? Au Wamevamia Tanzania!? Au turudi mashariki ya kati, unaweza kusema wakurdi wamevamia Iraq, Syria ama Uturuki!? Hiki ndicho ninakiona huko Azerbaijan na raia wake wenye asili ya Armenia!!!
 
Back
Top Bottom