Kwangu
1. Mgeni awe ndugu yng au rafki au jamaa tu wote huwa nawatendea haki sawa.
2. Kama si muongeaji sn, mstaarabu, si mlevi, mpenda ibada, msafi, hagomban na wenyeji, haendekez ngono zembe, si muongo, si mlafi, ana maarifa na ufahamu, ana hekma na busara, yuko busy na mambo yake sn. TAKAA NAYE HATA MIAKA 10.
3. Nina moyo wa kusaidia watu kwa kdg nlichonacho spend kuona mtu anateseka au anaonewa, takaa naye hata miaka 10.
4. Nimewahi kukaa kwa watu baki mwaka mzma walinpenda kama mdogo wao, hawakunichukia wala kunisamanga, hata miaka 10 atakaa.