Mgeni kukaa kwako mwisho siku ngapi ?

Mgeni kukaa kwako mwisho siku ngapi ?

Mgeni kukaa kwako mwisho siku ngapi ?
Kama ni matembezi ya kawaida inategemeana ni uhusiano gani na nia ya kuja kwako

1. Exclussively kusalimia tu mwisho ni wiki mbili
2. Amekuja kwenye matibabu na shida zingine za kibinadamu, miezi 3
3. Amekuja likizo wakati wa msimu wa siku kuu na kutembelea ndugu na jamaa wiki moja
4. Amekuja kutafuta maisha, wakati anajiseti na kuweka mipango sawa mwishi miezi mitatu

Nje ya hapo ni kuboa tu wenyeji
 
Watu wa mjini hawataki tabu ,mnaahidiana kuwa utakuwa njiani siku fulani kuja mjini ila akijua sasa unaweza kuwa umefika simu inaharibika .
Jamani ugeni mjini ni mchana jioni katafute kwa kulala bila hivyo utajikuta unahisi kutengwa .

Ila mikoani unakaribishwa hata mwaka na hawakuchoki zaidi utaona wanatamani uendelee kuwepo kwao
 
Hili suala haliwahusu wasukuma hawa wanahamiaga kabisa mpaka wanasahau kwao!.
 
Back
Top Bottom