Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 10,545
- 31,625
Kumbe tuko wengi😂nimeji register juzi,ila kuanzia 2022 nilikuwa na browse kupitia google bila kuji register.
Kumbe tuko wengi😂nimeji register juzi,ila kuanzia 2022 nilikuwa na browse kupitia google bila kuji register.
Kumbe tuko wengi
Ambatanisha na Picha yako Ndogo ya Passport Size uliyoipiga hivi karibuni nyuma iwe na kivuli cha Blue.Nasubiri ukaribisho wenu wakuu.
Una undugu na Lamine Yamal wa Spain?Salamu kwenu JF platinum members, JF expert members, JF senior members, JF members and JF new members.
Paulo Yamal muhas naingia hapa katika ulimwengu wa JamiiForums
Nasubiri ukaribisho wenu wakuu.
shukrani mkuu japo nimejionea na nazidi kujionea kwenye majukwaa yoteAaah! Sawa, jambo jema karibu mengine utajionea mwenyewe
hahah sio kweli mkuu hata first year hawafanyi hivyoAmbatanisha na Picha yako Ndogo ya Passport Size uliyoipiga hivi karibuni nyuma iwe na kivuli cha Blue.
Wewe faanya unavyoambiwahahah sio kweli mkuu hata first year hawafanyi hivyo
hapana sina undugu naye kabisa ni jina lake tu nimetumiaUna undugu na Lamine Yamal wa Spain?
Mkuu nahisi ni chai kwanza kama ilivyo kawaida ya humu ndaniMgeni utakunywa Soda au Chai?
Au utakunywa soda wakati ukisubiri chai ichemke?
Wewe unawezaWewe faanya unavyoambiwa
Enzi za kuuziwa kimbweta😂hahah sio kweli mkuu hata first year hawafanyi hivyo
Weka picha yako ya passport sizeWewe unaweza
Sawa director wa heslbWeka picha yako ya passport size
Enzi za kuuziwa kimbweta
sio kweli mkuuMhaya huyu