Mzigua_255
JF-Expert Member
- Jun 25, 2026
- 815
- 1,645
Kila siku naingia jf lakini Sija log in lakini leo nimeamua ku log in leo naomba ukaribisho wenu wakuu
Hapana, wewe utaleta mambo ya ajabu, sasa picha za nusu uchi za wanawake za nini? Sikukaribishi!🤭🥱🤔😃😂😀😅Kila siku naingia jf lakini Sija log in lakini leo nimeamua ku log in leo naomba ukaribisho wenu wakuu
Karibu JFKila siku naingia jf lakini Sija log in lakini leo nimeamua ku log in leo naomba ukaribisho wenu wakuu
Pasiii Shaka wewe ni Mzigua90Kila siku naingia jf lakini Sija log in lakini leo nimeamua ku log in leo naomba ukaribisho wenu wakuu
Hapana, wewe utaleta mambo ya ajabu, sasa picha za nusu uchi za wanawake za nini? Sikukaribishi!
Naona haji mimi mgeni jf tuwe marafiki PUMPKIN girlKaribu na mimi nimejisajili jana tunaweza kuwa marafiki
Sawa mimi sina tatizoNaona haji mimi mgeni jf tuwe marafiki PUMPKIN girl
Sawa nitakua wa kwanza kwenye nyuzi zako nita ku tag piaSawa mimi sina tatizo