Mgeni JamiiForums

Mgeni JamiiForums

Karibu sana mkuu, nmepokea jina lako kama mwanaJF mpya.

Hvy kuna utaratibu unapaswa kuufahamu, japokuwa Sio lazima.

Humu JF kuna makundi tofauti tofauti, ukiangalia I'd za watu kuna baadhi wana bluetick na wengine wana goldtick.

Hii goldtick ni gold membership ambayo utakuwa unailipia mara mbili kwa mwaka, miezi sita 100k na miezi sita mingine ni 50k.

Hii gold membership, Ina faida lukuki ambazo wengine hawazipati, kama vile:

1: Kufuta mada
2: Ukimblock mtu haoni content zako
3: Kufuta comment za wengine kwenye mada yako
4: Utaweza kuchagua aina ya watu fulani ndio waweze kuona content zako.
nk
Kumbe jeiefu kunakulipia
 
Mgeni we sio askari wa doria jf? Mbona siku ya kwanza tu ushaliteka jukwaa? Inaonekana wewe ni mwenyeji umeamua kuja kivingine😅,. Mimi najua wageni waa jukwa hili wakiingia kwanza hua hawazielewi mada za humu inawachukuaga hta wiki mbili ndipo wanaanza ku comment. Anyway karibu sanaaaa.
Maana umenishangaza ushajua vyeo vya member wote wa humu😅
 
Back
Top Bottom