Mgeni JamiiForums

Mgeni JamiiForums

Karibu Ila Usiwe Chawa Kama
Lucas Mwashambwa.
Yeye Anabubujikwa Na Machozi Muda Wote.
Kisa Mama Amemfikia.
 
Karibu sana mkuu, nmepokea jina lako kama mwanaJF mpya.

Hvy kuna utaratibu unapaswa kuufahamu, japokuwa Sio lazima.

Humu JF kuna makundi tofauti tofauti, ukiangalia I'd za watu kuna baadhi wana bluetick na wengine wana goldtick.

Hii goldtick ni gold membership ambayo utakuwa unailipia mara mbili kwa mwaka, miezi sita 100k na miezi sita mingine ni 50k.

Hii gold membership, Ina faida lukuki ambazo wengine hawazipati, kama vile:

1: Kufuta mada
2: Ukimblock mtu haoni content zako
3: Kufuta comment za wengine kwenye mada yako
4: Utaweza kuchagua aina ya watu fulani ndio waweze kuona content zako.
nk
 
Nimekupata mkuu shukrani sana.
 
Mpare kwa maneno, na mimi nikitaka hiyo Goldtick, hela nalipa kwako au wapi?
 
Back
Top Bottom