Lamine yamal UDOM
JF-Expert Member
- Aug 18, 2025
- 280
- 339
- Thread starter
- #101
weka namba ya voda na jina, ili nikichelewa kukubless buku kuna wengine watakubless,hapo utakuwa umetengeneza pesa nyingi kijanja zaidi au sio broh.Tuma tu MPESA.
weka namba ya voda na jina, ili nikichelewa kukubless buku kuna wengine watakubless,hapo utakuwa umetengeneza pesa nyingi kijanja zaidi au sio broh.Tuma tu MPESA.
Vishu anapatikana vingunguti mdw wowote ule mkuuAbonyeze ngapi kupata huduma hizo au kumpata Vishu Mtata
Aah mimi nataka yako tu, weka namba hapo unitumie hiyo buku.weka namba ya voda na jina, ili nikichelewa kukubless buku kuna wengine watakubless,hapo utakuwa umetengeneza pesa nyingi kijanja zaidi au sio broh.
CHL9JN6RDDN imethibitishwa mnamo 21/8/25,12:05AM umepokea Tsh 1,000.00 kutoka kwa PAULO YAMAL MUHAS Salio lako ni Tsh 1,015.00.Aah mimi nataka yako tu, weka namba hapo unitumie hiyo buku.
Mgeni utakunywa Soda au Chai?
Au utakunywa soda wakati ukisubiri chai ichemke?
Ahsante Mkuu, nimeiona...CHL9JN6RDDN imethibitishwa mnamo 21/8/25,12:05AM umepokea Tsh 1,000.00 kutoka kwa PAULO YAMAL MUHAS Salio lako ni Tsh 1,015.00.
Tuma au pokea pesa kutoka nchi 200..
Tuko pamoja kusaidiana usiwaze brohAhsante Mkuu, nimeiona...
Naona unajikaribisha mwenyewe na ID yako mpya ya uraiani....Karibu sana Jukwaani kwa mijadala yenye tija.
hapana mkuu,me na yeye ni watu watano tofauti.Yeye ni boss wetu sote.Naona unajikaribisha mwenyewe na ID yako mpya ya uraiani....
mkuu mbona kama na mimi,nilikukaribisha kule kwenye uzi wako wa mgeni jf.Karibu sana mkuu, hapa madini yapo ya kutosha, ushindwe ww tu kutajirika mwaka huu...
asante mkuu.
Ukinikaribisha, nakukaribisha! kiufupi tunakaribishana, muhimu umoja na mshikamano...mkuu mbona kama na mimi,nilikukaribisha kule kwenye uzi wako wa mgeni jf.