Njowepo
JF-Expert Member
- Feb 26, 2008
- 9,710
- 2,251
Kabla ya kucomment mtu angeweza nipa the background as to why aliichana iyo noti.
Mtu hawezi kukudharau kama unajiheshim,enzi za mwalimu aliwai mdetain Mgiriki kwa kusema nchi yetu ameiweka mfukoni na kila mtu alikuwa anaiheshimu Tz.
Sasa with all of these none sense tunazosikia unadhani kuchana note kwake itakuwa kazi.
FEDHA ILIONGEA APO.
Ila nae kheri angekuwa ametoka nchi ya maana yaani Pakistani ndo anachana Hela yetu.
ILA INAUMA