Mgao umeisha hadi Januari - SERIKALI | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mgao umeisha hadi Januari - SERIKALI

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Bajabiri, Oct 24, 2011.

 1. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #1
  Oct 24, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Serikali kupitia naibu waziri wa nishati na madin imesema kuwa kuanzia sasa mgao wa umeme umeshaisha hadi mwezi january,amesema kuwa hilo limesababishwa na kujaa kwa baadh ya mabwawa na pia kuna kampuni(jina nimelisahau)imeweza kuingza megawati kadhaa kwenye gridi ya TAIFA!
  Je hapo ulipo kuna umeme?
  Sosi:radio ONE
   
 2. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #2
  Oct 24, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,047
  Likes Received: 3,074
  Trophy Points: 280
  Kwahiyo siyo mgao umeisha bali wamepostpond tatizo..waache tu tutawanyonga hawa tena kama Gaddafi
   
 3. Kimilidzo

  Kimilidzo JF-Expert Member

  #3
  Oct 24, 2011
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 1,346
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 135
  Hao mafisadi tumeishawazoea kwa ahadi hewa. Hapo kachomekea neno MEGAWATT akidhani ataendelea kutuchanganya kumbe tumeishazoea saizi hilo neno. Huku kwetu Ngeleja wanamwita megawatt.
   
 4. M

  Mocrana JF-Expert Member

  #4
  Oct 24, 2011
  Joined: Sep 10, 2011
  Messages: 532
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  he, makubwa sasa sijaelewa kwa hiyo wamepospone hadi january, sasa huu mgao uliokuwepo si walisema unaisha desemba? mwe hii serikali jamani, kazi ipo, haya ngoja tusubiri tuone, i wish kama watanzania tungekuwa na maamuzi kama ya wazambia.
   
 5. Poriposha

  Poriposha JF-Expert Member

  #5
  Oct 24, 2011
  Joined: Oct 23, 2011
  Messages: 306
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mgao umeisha wapi! Huku tangibovu mbez beach mbona wamekata toka saa 2 na hatujui utarud saa ngap. Hi SERIKALI INABOA KINYAMA na ww Ngeleja kaa kimya
   
 6. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #6
  Oct 24, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,131
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  Stelling wa hii movie bwana ngeleja kafa nini? sasa naona amengia bwana Malima na hii tamdhilia ya Megawati party two! This is Kanumba movie party two ngoja tuone!
   
 7. Kivumah

  Kivumah JF-Expert Member

  #7
  Oct 24, 2011
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 2,413
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Hivi Viongozi wa Nchi hii wameenda Shule kweli??!!, Hivi inawezekana kweli Kiongozi ngazi ya Waziri wa Nchi hii unasimama kuitangazia Dunia kwamba mgao wa Umeme umeisha mpaka Januari, hii maana yake ni nini, kwamba miezi hii miwili ndio umeme utakuwepo then baada ya hapo tunarudi tena gizani. Ndio kusema kwamba ile mipango ya dharura ya kuleta Umeme wa Uhakika waliokuwa wakiinadi pale Bungeni ilikuwa ni kiini macho!!!.
  Damn this Country
   
 8. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #8
  Oct 24, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,131
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  Ukitaka kujua kua viongozi wa nchi hii ni vilaza kumbuka kua Ngeleja katudanganya weeeeee sasa kaona hii ngoma ngoja ampigie pasi brotherman Malima, sasa Malima kaingia na vigezo vya kuwahadaa wananchi kua mgao hautakuwepo mpaka January mwaka kesho! baada ya hapo natumaini baraza la mawaziri litakua limebadilishwa kutokana na uongo huu wa Megawati halafu tena hii ngoma atachukua mtu mwingine na hii itatokana na vigezo vya ukame wa mvua mabwawa hayana maji! Happy 50 years ya uhuru wa wadanganyika.
   
 9. Mwendabure

  Mwendabure JF-Expert Member

  #9
  Oct 24, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,054
  Likes Received: 296
  Trophy Points: 180
  Mtwara umeme hauna mtumiaji, mpaka kwenye mikorosho ukiegemea mkorosho umenasa!! Ila nasikia mpango umekamilika gesi itapelekwa Dar kwa bomba.. Hapo chacha!!
   
 10. M

  Megawatt B JF-Expert Member

  #10
  Oct 24, 2011
  Joined: Aug 23, 2011
  Messages: 260
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Msijali umeme wa kumwaga. Huko mbezi na tangi bovu si mnajua tunajenga barabara usiku na mchana. Kesho upo
   
 11. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #11
  Oct 24, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Yaani amesema kwa miez mitatu tutakua free from MGAO!
   
 12. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #12
  Oct 24, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  leo ndo mwisho
   
 13. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #13
  Oct 24, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Hahahaha Ngeleja anaunguzwa masaburi na Tanesco yake! Mbezi Bch hatuna umeme!
   
 14. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #14
  Oct 24, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Unakuja upo BONDEN UNATOKEA LUGALO
   
 15. NGOGO CHINAVACH

  NGOGO CHINAVACH Verified User

  #15
  Oct 24, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 797
  Likes Received: 145
  Trophy Points: 60
  Morogoro mji mpya-zzzzzz,umeme umepata ajali kwenye lori hvyo umeshindwa kuja
   
 16. Mmang'ati

  Mmang'ati Senior Member

  #16
  Oct 24, 2011
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 185
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Yaani dk 20 baada ya maneno ya malima ktk taarifa ya habari umeme ukakata mpaka dk hii.....yule mh megawatt naona leo yuko off...,,blood megawatt*&%~.co.mteravijijini..!
   
 17. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #17
  Oct 25, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  nadhan ajali imetokea mikumi wakat unatoka KIDATU!
   
 18. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #18
  Oct 25, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,357
  Likes Received: 5,654
  Trophy Points: 280
  achamatusi ya nguoni tumelala gizani tangu jana usiku na mpaka tunaondoka akuna chai sababu ya umeme
  atutake radhi huyo mbwa
   
 19. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #19
  Oct 25, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  jana usiku mpaka asbh naondoka maeneo ya mbezi tank bovu hakuna!:canada:
   
 20. J

  Jibaba Bonge JF-Expert Member

  #20
  Oct 25, 2011
  Joined: May 6, 2008
  Messages: 1,224
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 160
  Huyo naibu waziri na waziri wake wanafiki tu. hakuna lolote. wanaogopa kisago bungeni maana Kikao cha Bunge cha mwezi wa 11 ndiyo kimekaribia. hawana lolote hao wajiuzuru tu. hamkumbuki wakati wa kupitisha bajeti ya wizara ya Nishati na madini? Umeme uliwaka mfululizo tukadhani tatizo limekwisha kumbe walitaka bajeti yao ipite!
   
Loading...