Mfungwa wa tukio la Ugaidi Chuo Kikuu cha Garissa nchini Kenya, Rashid Mberesero adaiwa kujinyonga Gerezani Kamiti

Mbona watu mna uelewa mdogo hivi?
Hapa tunachangia under speculation what if
He was not guilty
What if alishindwa Tu kujieleza vizuri..
Aliekwambia hapa tunamtetea nani?
Au tunaunga mkono alichofanya kama kafanya kweli nani?
Angetakiwa akate rufaa ili kesi iende mahakama ya rufaa, maelezo na ushahidi wote angeutolea huko
 
Si kufika Garrisa tu alikutwa juu ya dari alikuwa na woga fulani mabomu aliyoavaa ya kujilipua aliweka pembeni .Watanzania si unajua sisi kifo hukiogopa wenzie walijilipua yeye akaona ohhh sitaki akaja kudakwa juu ya dari na jeshi la kenya
The Boss una swali hapa?
 
Kweli; eti sababu pekee iliyomfanya jaji amtie hatiani ni mtuhumiwa "kushindwa kutoa maelezo ya KURIDHISHA kwa nini alikuwa kwenye eneo la hostel za chuo shambulio lilipotokea" Hiyo peke yake inaweza kuwa sababu ya kumnyonga mtu bila kuwa na ushahidi mwingine wa kumhusisha na tukio?
Kwahiyo unasemaje Sheikh
 
Ndio planners hao mkuu very soft and smart wale wenye midevu na Mionekano Aggressive ni implementors tu
umenikumbusha movie ya 24 legacy..
Afu leo nmeota nmeenda kutalii na wenzangu wengi mara mujahid wakavamia na mabom ya kwenye mabegi(walikuwa wengi wamevaa kanzu)...mimi kwa akili nyingi (pamoja na wasaidizi wawili, kiume na wa kike) nikafanikiwa kutorosha kundi kubwa la watu...wale jihadist wakatumark sisi watatu wakasema muislam yoyote akiona sura zetu apitishe panga,yule msaidizi wangu wa kiume alikuwa amezubaa tunatembea akaja jamaa amevaa casual kwa nyuma kama anamuulizia kitu,ile kugeuka tu jamaa alikuwa na panga kali akaondoka na kichwa.
Nikawa helpless nikaona hawa jamaa wameshinda ila hawakuwa na bunduki walikuwa na mapanga na mabom tu.
Halafu kiongozi wao ndo yule dogo wa 24legacy..kundi langu naloongoza ni la waoga nikiwaambia tumarch kupigana wanaogopa na alipokufa jamaa all hope was lost.
Kuja kuamka nakuta simu yangu pembeni kuiwasha nakuta sikutoka jf jana na ilikuwa imeload kwenye uzi huu(coincidence?)
wataalam wa njozi hiyo imekaaje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu kijana kwa kumuangalia tu anaonekana ana tatizo la msongo wa kimawazo au ugonjwa wa schizophrenia angepimwa akili kwanza na kuchunguza historia ya familia yao kiakili si ajabu alikuwa innocent suala la kusema alikuwa anafanya nini juu ya dari sio kigezo cha kumuhukumu.
Kwani mtu ukipita mahali ukakuta watu wanamimina risasi ukaingia nyumbani kwa mtu darini kusetiri maisha yako ukija kamatwa utahusishwa na kosa?
Wakati mwingine kuna watu hawajui kujieleza angepewa mwanasheria ingejulikana mbichi na mbivu.
Simtetei wala sitetei ugaidi ila je Kenya walichunguza mambo yote haya?
 
Kwani alikutwa na HATIA YA UGAIDI?
alihukumiwa?
Ngoja aende Wanakofundishwa kwamba atapewa MABIKIRA 9 akale raha za Ahera. Dogo alitoroka shule kisa tu Mafundisho ya watu wachache Wapumbavu wanaoharibu Vijana wetu.

Tukemee na Tutoe taarifa kwa Vyombo vya Usalama pindi tunapoona Mawakala wa Vikundi vya Kigaidi wakiwashawishi Vijana kwenda kuungana na Vikundi hivi.

Kule Cabo Delgado Watanzania pia wapo na Wengine huenda ni Member hapa JF, hebu waoneeeni huruma Hawa Vijana wadogo mnawarubuni kutenda Unyama. Hakika mnawafutia ndoto zao za Maisha.
 
Mbona watu mna uelewa mdogo hivi?
Hapa tunachangia under speculation what if
He was not guilty
What if alishindwa Tu kujieleza vizuri..
Aliekwambia hapa tunamtetea nani?
Au tunaunga mkono alichofanya kama kafanya kweli nani?
If he was innocent asingeshindwa kujieleza,maelezo ya ukweli ni rahisi sana,kama alifuata demu angesema na kumuonyesha,.shule aliagaje walimu wangemtetea,alisafirije bila pasi angeelezea,alipanda kwenye dari kivipi angeelezea!
 
Mbona watu mna uelewa mdogo hivi?
Hapa tunachangia under speculation what if
He was not guilty
What if alishindwa Tu kujieleza vizuri..
Aliekwambia hapa tunamtetea nani?
Au tunaunga mkono alichofanya kama kafanya kweli nani?

Sawa uelewa mdogo ila ukinikuta kwako ni familia yako.
 
Huyu kijana kwa kumuangalia tu anaonekana ana tatizo la msongo wa kimawazo au ugonjwa wa schizophrenia angepimwa akili kwanza na kuchunguza historia ya familia yao kiakili si ajabu alikuwa innocent suala la kusema alikuwa anafanya nini juu ya dari sio kigezo cha kumuhukumu.
Kwani mtu ukipita mahali ukakuta watu wanamimina risasi ukaingia nyumbani kwa mtu darini kusetiri maisha yako ukija kamatwa utahusishwa na kosa?
Wakati mwingine kuna watu hawajui kujieleza angepewa mwanasheria ingejulikana mbichi na mbivu.
Simtetei wala sitetei ugaidi ila je Kenya walichunguza mambo yote haya?
Yani alikuwa Garisa Kenya anapita wakati ni mwanafunzi wa form 5
 
Ohh OK kama ni mwanafunzi wa secondary
Alikuwa below 21 I believe
Ni kesi ya kuwa brainwashed Tu ..
Sidhani kama alikuwa real terrorist
Halafu kama alitoka Dodoma
Why waseme yeye ndo kawapeleka hao
Wasomali chuoni hapo??
Hao wasomali si wakenya??
Mkuu dishi lako limeyumba?

Au ndio umachinoo umekuzuga?
 
Back
Top Bottom