Mfungwa wa tukio la Ugaidi Chuo Kikuu cha Garissa nchini Kenya, Rashid Mberesero adaiwa kujinyonga Gerezani Kamiti

Mamndenyi

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
32,930
2,000
figganigga kama sijakosea sana mwaka jana ulileta uzi wa mauwaji ya mtoto mmoja huko mbeya na mtuhumiwa ni kijana akiitwa mbereseko, nisaidie, ni huyo huyo au siko sawa.
 
miss pablo

JF-Expert Member
Jul 9, 2018
3,942
2,000
Mchaga poko huyo badala ya kujiunga kusaka pesa unajiunga alushababu uuwe watu kwa faida ya maboss wa kundi
Nataman hata muuliza dadake wanashare baba mambo naogopa the kid hakua kbs kwenye cycle ya wenzake. Ila sako lililofanyikaaa. Walichunguzwa balaaa. Kuanzia familia, ndugu jamaa na marafiki. Alijihamisha shule huyu kwenda Arusha sec kumbe alitaka upenyo wa kuwa huru
 
NostradamusEstrademe

JF-Expert Member
Jul 1, 2017
2,191
45
Wanaolazimishwa kujitoa mhanga ni wachache sana, wengi wanajitoa wenyewe wakiassociate kitendo hicho na suala la kiimani

Watapata thawabu kwa kuifia dini ya haki, dini ya Allah (S.A.W)
stupidity uslam ni dini ya amani hakuna mahali panasema ukiuwa mwenzako unaenda peponi kama kuna mungu wa hivyo basi sio wa kawaida
 
NostradamusEstrademe

JF-Expert Member
Jul 1, 2017
2,191
45
Naomba niwaambie kitu maana ya neno Terrorism tunalazimishwa na nchi za magharibi kuli define wanvyotaka wao kutokana na kujihami na kuna mahali walilazimisha kutungwa kwa sharia ya ugaidi kwa nchi mbali mbali sikumbuki kama sisi tulikubali au vipi.Kwao Terrorist ni mtu anayejaribu kushawishi watu kisiasa au kutumia nguvu ikibidi kudhuru watu kwa matakwa yake binafsi ya kidini au ya kisiasa.
Sasa ukilileta neno hilo kwa Kiswahili haliwi na maana nzito kiasi hicho.Kwa muktadha huo basi kama ni ugaidi magaidi wako wengi hata hapa nchini nitatoa mfano
Ukiwa unafanya biashara kubwa sana unainyima serikali mapato yake kwenye kodi ni ugaidi.Unapokula mali ya umma fedha za miradi zimetolewa kupelekea watu maji wewe unaweka kwenye account yako ni ugaidi.Unapo chukua tenda ukawa una supply kwenye kampuni unayofanyia kazi kwa maslahi yako conflict of interest upate hela ya ziada ni ugaidi.Unapopinga kila jema linalofanywa na serikali yako kwa faida ya wananchi mfano kujenga flyover unasema ni kufuja hela wakati wewe wewe unapita na gari yako ni ugaidi.Unapopewa ukandarasi wa ujenzi wa ghorofa ukapewa vifaa wewe vingine ukauza jengo likawa chini ya kiwango likaporomoka likaua watu huo ni ugaidi.
Unapokuwa baba wa familia una nyumba ndogo ambayo unaihudumia kuliko familia yako watoto wanateseka huo ni ugaidi
 
Mac Bully 001

JF-Expert Member
Jun 26, 2012
6,548

Well said! 🤣 🤣 🤣

Salamu toka nchi jirani ✌️
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom