Mfungwa wa tukio la Ugaidi Chuo Kikuu cha Garissa nchini Kenya, Rashid Mberesero adaiwa kujinyonga Gerezani Kamiti

maddox

JF-Expert Member
Feb 27, 2010
283
500
Huyu Dogo angepata wanasheria wazuri angeachiliwa mapema.

Usikute kajinyonga baada ya kuona kila mtu anamhukumu bila kumsikiliza
Kisa chake huyu dogo ni cha ki bwege Sana...alishawishiwa akaacha shule na kujiunga na Al shababu akiwa mdogo Sana alikuwa kama form 2...SASA akapelekwa uko Somalia siku ya tukio la garisa alipangwa alipue Bomu.......maana alitakiwa KUJITOA mhanga dogo kashafika eneo la tukio akaogopa kujilipua kitete kikamshika......akapanda kwenye Dali kimyaaaa......walipokuja polisi kuokoa wakacheki kwenye Dali wakawatoa wengine pamoja na yeye kuhojiwa kama wapo salama dogo akaongea Kiswahili cha bongo hapo ndio balaa lilipoanzia.........walitaka kujua kaletwa na Nani au kaja kufata nini na uku sio kwao??maana hata pasi hakuwa nayo......ndio ikawa basi tena...lakin huyu ajajinyonga hapo nakataa huyu atakuwa kauliwa.....maana walikamatwa kama WA 5 hivi wengine waliachiwa......wengine kifo pqmoja na huyu......mpaka mwisho WA maisha yake
 
The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
41,667
2,000

Very sad story
 
Countrywide

JF-Expert Member
Mar 2, 2015
5,974
2,000
Natamani nisiendelee kukujibu, ila ngoja
Huyu dogo.inavyoonekana alijiunga na alshabaab muda mrefu tu, kwa kuwa hata alipokuwa shule huko dodoma wamasema alikuwa na pesa nyingi.
Inayoonekana hiyo haikuwa mara yake ya kwanza kufika kenya
Ohh OK kama ni mwanafunzi wa secondary
Alikuwa below 21 I believe
Ni kesi ya kuwa brainwashed Tu ..
Sidhani kama alikuwa real terrorist
Halafu kama alitoka Dodoma
Why waseme yeye ndo kawapeleka hao
Wasomali chuoni hapo??
Hao wasomali si wakenya??
 
maddox

JF-Expert Member
Feb 27, 2010
283
500
amekata tamaa mapema sana, bado alikuwa ana nafasi ya kutoka gerezani
Wapi .....hukumu ya kunyongwa ilikuwa kwake peke yake wale wenzake walifungwa kifungo cha maisha Tu ..........na mmoja aliachiwa walisema Hana hatia yeyote
 
Azarel

JF-Expert Member
Aug 25, 2016
17,927
2,000
Ohh OK kama ni mwanafunzi wa secondary
Alikuwa below 21 I believe
Ni kesi ya kuwa brainwashed Tu ..
Sidhani kama alikuwa real terrorist
Halafu kama alitoka Dodoma
Why waseme yeye ndo kawapeleka hao
Wasomali chuoni hapo??
Hao wasomali si wakenya??
A Terrorist is a terrorist whether Real or Fake, he is already a terrorist

If he was below 21 kesi inakuwa brainwashed kivipi? Sheria za hukumu za Kenya zinasemaje ktk accusation ya mhalifu gaidi aliye under 21? Hebu tusaidie hapo
 
Bushmamy

JF-Expert Member
Aug 18, 2019
4,864
2,000
Kama gaidi kweli, wamemchelewesha sana.

Kawaida sipendelei adhabu ya kifo.

Ila hawa wauaji wanaoua watu kwa mafungu wangekuwa wanawaua tu badala ya kuwafunga jela wanakula bure pesa ya walipa kodi.
Kula ni haki ya. Msingi ya binadamu yoyote yule,
Na pia adabu ya kifungo cha maisha kwanza adhabu hiyo lazima ikuathiri kisaikolojia.
Pia huduma zote muhimu atazikosa
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom