Culture Me
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 10,447
- 21,160
Hawalazimishwi ila wanashawishiwa kama nyie wabeba hiyo mizigo, hamlazimishiwi bali mnashawishiwa.Hivi kwan huwa wanalazimishwa kutumia madawa? Kuna vitu huwa natafakari nakosa majibu lol , kila mtu ana uhuru wa kuchagua maisha yake
Sent from my iPhone using JamiiForums