Mfungwa Lillian aliye Hong Kong

Hivi kwan huwa wanalazimishwa kutumia madawa? Kuna vitu huwa natafakari nakosa majibu lol , kila mtu ana uhuru wa kuchagua maisha yake

Sent from my iPhone using JamiiForums
Hawalazimishwi ila wanashawishiwa kama nyie wabeba hiyo mizigo, hamlazimishiwi bali mnashawishiwa.
 
Huko uswahilin kwenu you only deal na uchafu sio unga, utaendelea tu kuwasikia real dealers kwenye bomba sio hao wapuuzi wa mtaan kwenu

Sent from my iPhone using JamiiForums
Mimi kwangu mtu akisifiaga mambo ya ajabu ajabu ambayo jamii na serikali inayakemea namuonaga mpuuzi tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hajayajua Magereza ya Tanzania narudia hajayajua!
Ni jehanam iliyoko duniani, kule si analala kwenye vitanda, vyumba vina AC ana mashuka, vyumba vina rangi tena unaweza kukuta ana roommate mmoja tu, akiamka asubuhi anakula vinono, anafanya kazi kama mazingira mazuri kama vile watu wa Benjamin Mkapa External!
.
Mwambieni, jela za Tanzania hakuna hata moja yenye AC, yenye vyumba, yenye rangi kwenye cello zake, yenye kazi rahisi, yenye vitanda kama hajawahi kuiona Jehanam na aombe sana serikali imlete hatoamini macho yake
aisee usitamani kwenda magereza ya indonesia, thailand,phillipeans utajuta harafu mbaya zaidi ni mgeni.kama unabisha we ingia youtube hakuna utafauti na magereza ya huku...
 
Kwenye mambo ya kijinga mnakimbilia MUAFRICA, nani kwenye dunia hii anayesapoti madawa ya kulevya? Unaijua athari ya madawa ya kulevya wewe, una mpendwa wako yoyote ameathirika na madawa ya kulevya?

Tamaa zako za maisha ndio uue wengine? Acheni kutetea ujinga bhana.
DUNIANI kuna inchi inapiga vita madawa kama MAREKANI? Lakini ukikamatwa unakwenda jela miezi 6.. Huku kwetu ndy tumeshupalia ili wauze wao...nambie ni lini umesikia madawa yamechomwa moto? kwa TAARIFA yako muuza madawa sio tishio kimataifa,,kama JAMBAZI,,,MLA RUSHWA,,,MUHUJUMU UCHUMI...KUMJERUHI MTU...tembea uone,,SIO kung' angania BONGO,,,unajuwa njaa uliyokuwa nayo imesababishwa na MADAWA? au watu wachache wasio waaminifu wanaojilimbikizia Mali za umma na wala RUSHWA? tembea ulaya yote jela watu wa madawa ndy wanaongoza kifungo kidogo kuliko mla rushwa,, wewe unajuwa watu wangapi wanasababishia hasara serikali? je anaathirika MTU mmoja au watu wote!? Wacha kula Mali ya umma,,wacha kula RUSHWA,, ungekuwa ulaya au China sasa hivi ni PRISON... HUNA CHA KUKWEPA...HAYO YAKO NI MAZITO KULIKO MADAWA,,,TATIZO Africa ndy maana upo Urania

Sent using Jamii Forums mobile app
 
aisee usitamani kwenda magereza ya indonesia, thailand,phillipeans utajuta harafu mbaya zaidi ni mgeni.kama unabisha we ingia youtube hakuna utafauti na magereza ya huku...
Yeah ni mabaya sasa huyu kigagula anataka aletwe bongo
 
Yeah ni mabaya sasa huyu kigagula anataka aletwe bongo

Halafu ni karembo, si bora angedanga tu angepata pesa ndefu , angeenda pattaya huko thailand hizo 10 mil angezipata in a week , kwa jinsi alivyo angepata sana soko
 
Wenzio wakia rushwa wewe unabeba madawa.

.......elimu bure bado haijawakomboa?
Wewe MKUU hata huyo anayekutuma huko kibaruani kwako,,, unajuwa anafanya biashara gn? utajiri wa mtu una siri nyingi Sana,,, wapo watu kibao hapo bongo watu wanakutana nao viwanja,,,na watu wanajuwa wanachofanya,,,mabaharia tunasema WHAT HAPPENS IN THE JUNGLE STAYS IN THE JUNGLE....MIKAUSHO na wakirudi hapo na wao mikausho,,,MIKALI,, ,,usipige KELELE KAMA MBWA KOKO,,,,,huna unachojuwa connections wala system za mambo ya madawa,,,waache WENYEWE na mambo yao,,, hakuna MTU asiyependa pesa za haraka,,,,,wacha wivu ..wa kijinga,,,,mbona wewe unachofanya kwenye KIGENGE CHAKO WATU HAWAKUINGILII,, kama MAUMIVU yakizidi kalia kitu chenye ncha Kali,,,...UKOJOWE....upoze machungu....MKUU..
 
Nionee wivu mtu kufungwa kwa kosa la kusafirisha madawa?

.......Endeleeni tu kubeba na blah blah nyingine mkifanikiwa mje kutusumbua wauza magenge ila mkidakwa ndio inakuwa kama hivi mnapigwa miaka ya kutosha huko ugenini na menu ni wali na konokono.

Watoto wa kiume na tamaa ya utajiri wa haraka na maisha mazuri ya chap ndio mnaishia kuwa Wake za watu.
 
Wapo wengine wanatamani kuwa Kama Teresa Mendoza
Pesa kitu kingine jamani hakuna asiyetaka maisha mazuri!!!
 
Halafu ni karembo, si bora angedanga tu angepata pesa ndefu , angeenda pattaya huko thailand hizo 10 mil angezipata in a week , kwa jinsi alivyo angepata sana soko
Side effect za umalaya mbaya sana.

Hivi ukitandikwa 3 million hapo leo, baada ya siku sita ukachapwa Mark X baada ya mwezi ukachapwa million 5 na ukaenda kulala Serena two days alafu ukaambiwa upeleke mzigo Hong Kong pure cocaine trip moja tu utakataa?
 
Wewe MKUU hata huyo anayekutuma huko kibaruani kwako,,, unajuwa anafanya biashara gn? utajiri wa mtu una siri nyingi Sana,,, wapo watu kibao hapo bongo watu wanakutana nao viwanja,,,na watu wanajuwa wanachofanya,,,mabaharia tunasema WHAT HAPPENS IN THE JUNGLE STAYS IN THE JUNGLE....MIKAUSHO na wakirudi hapo na wao mikausho,,,MIKALI,, ,,usipige KELELE KAMA MBWA KOKO,,,,,huna unachojuwa connections wala system za mambo ya madawa,,,waache WENYEWE na mambo yao,,, hakuna MTU asiyependa pesa za haraka,,,,,wacha wivu ..wa kijinga,,,,mbona wewe unachofanya kwenye KIGENGE CHAKO WATU HAWAKUINGILII,, kama MAUMIVU yakizidi kalia kitu chenye ncha Kali,,,...UKOJOWE....upoze machungu....MKUU..

Ahaha ha what happens in Vegas remains in Vegas
 
Side effect za umalaya mbaya sana.

Hivi ukitandikwa 3 million hapo leo, baada ya siku sita ukachapwa Mark X baada ya mwezi ukachapwa million 5 na ukaenda kulala Serena two days alafu ukaambiwa upeleke mzigo Hong Kong pure cocaine trip moja tu utakataa?

Binamu mimi sio mnafiki, naanzaje kukataa fursa kama hizo kwa mfano?, ticket unalipiwa tena first class emirates , hotel Five Star na dollar 5 pocket money wee, warumi sijaumbwa na unafiki kwa kweli .

Lilian hawakumtrain vzur alikurupuka, zile biashara lazima ufukishwe haswa, ila sio mbaya kajaribu, Kwangu mimi ni shujaa

Nina trip ya bali corona ikitulia, ntaenda kumpa hi mpiganaji mwenzangu
 
Unaangalia zako list ya nchi zinazoshukiwa sana.
Unapanda zako basi hadi Namibia kwa barua ya dharura ukifika kule unakwea pipa.

Tanzania na Nigeria ziko blacklisted hata S.A ikitua ndege toka hizi nchi macho yote kwao
 
Hiyo kauli ya MKIFANIKIWA MJE KUTUSUMBUWA MITAANI... ndy kinachofanya WAAFRICA kuwafunga wauza madawa miaka mingi KWA HOFU YA KUSUMBULIWA MITAANI na kuwaacha WATU WENYE ATHARI KUBWA KWA JAMII WAKIDUNDA MITAANI...na kuwapa vifungo kidogo., sababu WATU WANAENDESHA MAGARI MAZURI NA NYUMBA NZR? .hiyo NI ROHO MBAYA NA CHUKI YA WAZI WAZI..KUMBE NI CHUKI NA WIVU?....wenzetu WAZUNGU wametuacha mbali sana kifikra,,,Africa itaendelea kuwa TUNDU LA CHOO CHA SHIMO ,,,,,HADI TUBADILIKE NA MAWAZO MGANDO KAMA YAKO,,, ..hivi unavyodhani MZUNGU kuwafunga WATU WA MADAWA MIEZI 6 HADI MWAKA 1 ....NA KUWAFUNGA WALA RUSHWA , WAHUJUMU UCHUMI,,MAJAMBAZI,,..HUMAN TRAFFIC(biashara ya kusafirisha binadamu),, terrorist,,..KUPIGANA NA KUJERUHI ,KUUA,,,KUBAKA,, WANAFUNGWA MIAKA MINGI NI WAJINGA? SABABU walishaona MADAWA ni hiyari ya MTU mmoja mmoja,,, lakini hayo mambo mengine ni threat kwa taifa zima ,,, ,MKUU siku ukisafiri NJE,,NDY UTAKAPOONA WAPI AFRICA TUNASHINDWA....MZUNGU hata kama unafanya kazi ya aina gani kama kipato chako hakiendani na kipato chako ni lazima akuchunguze umepataje hizo Mali, ,,ILI UWE MSAFI,,USIJIPATIE PESA ZISIZO HALALI,, HIVI NI MADAWA TU NDY UMEONA NDIYO UHALIFU MKUBWA? HIVI NI MADAWA TU NDY UMEONA VIJANA WANA TAMAA YA MAISHA YA SHORT CUT? hivi ni lini umeona Africa watu wanaulizwa? Umepata wapi mali hizi? MTU anaulizwa umejengaje nyumba hii,,,au magari yote umepataje?kama ni mtumishi wa SERIKALI? au hata sekta BINAFSI?MTU ana nyumba zaidi ya UWEZO wake umeona nani anaulizwa? MTU anaendesha magari zaidi ya UWEZO wa kazi yake umeona anaulizwa? sasa siku tukianza kuulizana kama ulaya na MAREKANI au hata huko China ,,na ukikutwa na hatia ya kujilimbikizia Mali ya umma ni kifungo sawa na MADAWA... Ndy hapo tutakaposogea ,,,lakini sio kuwasumbuwa na kuwakomoa watu wa madawa na kuwaona wanaofuja Mali za umma hawana makosa....TUACHE KUFANYA MAAMUZI YA ROHO MBAYA...TUJIKITE KTK MAAMUZI SAHIHI YA KULIPELEKA TAIFA LA AFRICA MBELE....MZUNGU jela imekuwa ni nzuri sababu jela ulaya ANAINGIA yeyote. ,kwao SHERIA ni kipofu,,inamuhukumu YEYOTE,,, haichagui,,huku kwetu Africa JELA ZIMEKUWA MBAYA SABABU NI MAALUMU KWA WATU FULANI.....na MAAMUZI YA ROHO MBAYA NA WIVU NA CHUKI KWA WATU FULANI,,,SABABU WAKIPATA PESA WANARINGA.....
Nionee wivu mtu kufungwa kwa kosa la kusafirisha madawa?

.......Endeleeni tu kubeba na blah blah nyingine mkifanikiwa mje kutusumbua wauza magenge ila mkidakwa ndio inakuwa kama hivi mnapigwa miaka ya kutosha huko ugenini na menu ni wali na konokono.

Watoto wa kiume na tamaa ya utajiri wa haraka na maisha mazuri ya chap ndio mnaishia kuwa Wake za watu.
 
Similar Discussions

12 Reactions
Reply
Back
Top Bottom