Alloyce PR
JF-Expert Member
- Nov 15, 2020
- 833
- 897
Kwa magereza ya Tanzania, hii ni hatua ya kwanza baada ya kufika tuu gerezani, zile nduo zote ulizovaa, unavua, zinawekwa kwenye mfuko maalum, unanyolewa, unapewa sare za jela, unapigwa zile picha 3 za passport, ndipo unaingizwa selo. Hivyo Lissu atakuwa alinyolewa ile ile Ijumaa usiku, waliokwenda kumtembelea kesho yake hawakumkuta tena na rasta!.
Hapo “kunyolewa kwa namna yoyote na wakati wowote kama atakavyoelekeza mkuu wa Magereza”, panaacha “room for abuse.Kwani kunyolewa kuna shida gani? Ni sehemu ya usafi.
ukweli Tuna shida kubwa sanaHapo “kunyolewa kwa namna yoyote na wakati wowote kama atakavyoelekeza mkuu wa Magereza”, panaacha “room for abuse.
Hizo passport size wanawapiga wafungwa kwa malengo yapi?Kwa magereza ya Tanzania, hii ni hatua ya kwanza baada ya kufika tuu gerezani, zile nduo zote ulizovaa, unavua, zinawekwa kwenye mfuko maalum, unanyolewa, unapewa sare za jela, unapigwa zile picha 3 za passport, ndipo unaingizwa selo. Hivyo Lissu atakuwa alinyolewa ile ile Ijumaa usiku, waliokwenda kumtembelea kesho yake hawakumkuta tena na rasta!.
P
Wewe nawe akili yako ndogo sana, hivi hata serikali ya mtaa haujawahi kuulizwa passport size?Hizo passport size wanawapiga wafungwa kwa malengo yapi?
Kolimba?Endeleeni kuchafua amani ipo siku mtu atapiga mbizi mpaka unguja,
Kambarage mwenyewe alishitukia yupo kigamboni enzi zake na Kolimba........
Sijakuuliza wewe wacha kiherehere.Wewe nawe akili yako ndogo sana, hivi hata serikali ya mtaa haujawahi kuulizwa passport size?
Sasa tumwambie na Boni Yai sasa anyoe manywele yake role model wake kasha nyolewa kwa Mujibu wa Sheria za magerezaKwa magereza ya Tanzania, hii ni hatua ya kwanza baada ya kufika tuu gerezani, zile nduo zote ulizovaa, unavua, zinawekwa kwenye mfuko maalum, unanyolewa, unapewa sare za jela, unapigwa zile picha 3 za passport, ndipo unaingizwa selo. Hivyo Lissu atakuwa alinyolewa ile ile Ijumaa usiku, waliokwenda kumtembelea kesho yake hawakumkuta tena na rasta!.
P
Tena alivishwa dera kudadeqEndeleeni kuchafua amani ipo siku mtu atapiga mbizi mpaka unguja,
Kambarage mwenyewe alishitukia yupo kigamboni enzi zake na Kolimba........
Jipya nini! Hakuingia na nywele na hizo nywele ni akili ndizo zilizomuwezesha kuwagalagaza hayo manyangarakasha ya serikali, kazi kaikamilisha kwa kiwango cha juu sana hivyohazihitaji hizo nywele, atawaachia ukumbosho magereza na kiasi wamgawie Katuga.
Wewe huwa haunyoi?Makwapa?Kiunoni?
Kumbe na wewe huwa na upumbavu hivi. Kwani kunyolewa nywele ndio nini sasa? Badala ujadili mambo ya msingi kama urefu wa kifungo au kama dhamana inawezekana unaleta habari za kunyolewa?