Wewe huwa haunyoi?Makwapa?Kiunoni?
Mwagito kwenye kiuno nywele zinaota sehemu gani? Au ni Kwa watu wa Iringa tu!
Wewe huwa haunyoi?Makwapa?Kiunoni?
Unaacha kujadili elimu wanayo pewa watoto wako na hawa majanbazi ilihali watoto wao wakisoma International school huko South Africa na Uingereza,
We P vipi bro? Hukumu ya Ijumaa si Ina rufaa? Wamemnyoa TL haraka hivyo? Je, kama TL akikata rufaa hasikilizwi kwanza?Kwa magereza ya Tanzania, hii ni hatua ya kwanza baada ya kufika tuu gerezani, zile nduo zote ulizovaa, unavua, zinawekwa kwenye mfuko maalum, unanyolewa, unapewa sare za jela, unapigwa zile picha 3 za passport, ndipo unaingizwa selo. Hivyo Lissu atakuwa alinyolewa ile ile Ijumaa usiku, waliokwenda kumtembelea kesho yake hawakumkuta tena na rasta!.
P
Tanzania ukihukumiwa kifungo, hukumu hiyon inaanza kutekelezwa siku hiyo hiyo!, Lissu aliondoka Ukonga akiwa Mahabusu, aliporudi ni mfungwa, anapolelewa kama mfungwa. Utekelezaji wa hukumu hausubiri rufaa!.We P vipi bro? Hukumu ya Ijumaa si Ina rufaa? Wamemnyoa TL haraka hivyo? Je, kama TL akikata rufaa hasikilizwi kwanza?
Zunguka kiuno chote utaona kwa kukwenyua maoteo belaga!Mwagito kwenye kiuno nywele zinaota sehemu gani? Au ni Kwa watu wa Iringa tu!
Mbona hamkumwambia awali kuwa nywele zake ni uchafu na badala yake sasa ndio mnajua ni Usafi?Kwani kunyolewa kuna shida gani? Ni sehemu ya usafi.
Kamwambie yupo Ubungo hapo.Sasa tumwambie na Boni Yai sasa anyoe manywele yake role model wake kasha nyolewa kwa Mujibu wa Sheria za magereza
Yes,