Fighter101
Member
- Jan 8, 2022
- 46
- 64
Wanataka kutuaminisha kuwahamisha Masai Ngoro Ngoro hakujaathiri kitu.Ila kilo ya nyama imeshuka bei kutoka 8000 hadi 6500 nimeshangaa sana
🤣🤣🤣Wanataka kutuaminisha kuwahamisha Masai Ngoro Ngoro hakujaathiri kitu.
Hizi bei ni za zaidi ya 30 years ago. Usipotoshe watuHakuna kipindi kigumu kama hiki, watu wanateseka ila wanaumia kimyakimya
Bahati mbaya sana hata JF ya sasa lumoja tu kusifia na kucrash kashifa zote kwa chief...
Bei za zamani kweli ila sio miaka 30 iliyopita, utakuwa unatuwahisha kuzeeka.Hizi bei ni za zaidi ya 30 years ago. Usipotoshe watu
🤣🤣🤣🤣🤣 unaogopa kuzeeka!!! Kwa hiyo at least 22 years ago.Bei za zamani kweli ila sio miaka 30 iliyopita, utakuwa unatuwahisha kuzeeka.
Nusu sahani chipsi nimekula kwa 200, sahani 300. Chipsi mayai 500. Wali maini 500, soda 250 - 300 n.k miaka ya 2000 mpaka 2005 hapo.
Utmost 20yrs ago😉🤣🤣🤣🤣🤣 unaogopa kuzeeka!!! Kwa hiyo at least 22 years ago.
zaidi ya miaka 30 ee, utakua umezalia juzi basi endelea na mapambioHizi bei ni za zaidi ya 30 years ago. Usipotoshe watu
Sema uzaidi ya miaka 30 ee, utakua umezalia juzi basi endelea na mapambio
Ok naweza kuwa nimekadiria mbali sana lakini wewe sema UKWELI hizo bei ni za miaka gani? Unataka kusema zimekuja baada ya SSH kuingia madarakani?zaidi ya miaka 30 ee, utakua umezalia juzi basi endelea na mapambio