Mfumo wa usimamizi wa uzalishaji viwandani

Mfumo wa usimamizi wa uzalishaji viwandani

herman3

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2015
Posts
595
Reaction score
787
Nimekuwa nikiona changamoto moja kwa baadhi ya biashara za manufacturing.

Mmiliki anaweza kujua amenunua raw materials kwa kiasi gani mwezi huu, lakini akija kuuliza:
  • Gharama halisi ya kuzalisha bidhaa moja ni kiasi gani?
  • Batch hii imetumia materials kiasi gani?
  • Wastage ilikuwa asilimia ngapi?
  • Ni bidhaa gani ina gross profit nzuri zaidi?
  • Distributor gani bado anadaiwa?
  • Stock iliyopo kwenye warehouse ina thamani gani?
  • Break-even ya kiwanda ni kiasi gani?
Mara nyingi taarifa hizi zinakuwa sehemu tofauti — Excel, vitabu, WhatsApp, invoices na kumbukumbu za watu.

Hii ndiyo sababu tumetengeneza Peloo Factory, mfumo wa kusimamia operations za kiwanda kutoka mwanzo mpaka mwisho.

Mfumo unashughulikia:

1. Purchasing & Receiving
Purchase orders, supplier purchases, receiving na quality checks.

2. Inventory
Raw materials, finished goods, stock movements, reorder levels na stock tracking.

3. Production
Unaweka recipe/BOM, una-record production batches na kuona actual yield pamoja na wastage.

4. Packaging
Batch inaweza kugawanywa kuwa sellable units na kupewa lot/batch codes kwa ajili ya traceability.

5. Distribution
Dispatch kwa distributors, cash/credit sales, payments na receivables.

6. Costing & Finance
Mfumo unakusanya production costs na expenses ili kupata Cost of Goods Manufactured, Cost of Sales, Gross Profit, overheads na Net Profit.

Pia unaweza kuona fixed vs variable costs na break-even point. Kitu kingine nilichoweka ni multi-facility management.

Kwa mfano una:
🏭 Factory
📦 Warehouse
🏪 Store

Unaweza kuzisimamia kama facilities tofauti, kila moja ikiwa na stock na records zake. Na kwenye permissions, si lazima kila mfanyakazi aone kila kitu. Unaweza kumpa storekeeper access ya receiving na inventory bila kumpa access ya financial information.

Kwa sasa mfumo unapatikana kupitia browser, hivyo hakuna haja ya ku-install software kwenye kila computer.

Swali kwa wenye viwanda hapa:
Ni sehemu gani ya manufacturing operations huwa inawasumbua zaidi — stock, production costing, wastage, distribution au financial reporting? Ningependa kusikia experience zenu.

Kama unataka kuijua zaidi Peloo Factory wasiliana nasi kwa sales@pel.tz +255 759 891 571 au jifunze zaidi kuhusu huduma hii hapa Industrial Manufacturing Management Systems — Peloo Factory | PEL
 
Back
Top Bottom