Business: Serious aliyetayari kushirikiana kuanzisha radio station geita italipa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Business: Serious aliyetayari kushirikiana kuanzisha radio station geita italipa!

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Radio Producer, Feb 23, 2011.

 1. Radio Producer

  Radio Producer JF-Expert Member

  #1
  Feb 23, 2011
  Joined: Feb 4, 2011
  Messages: 867
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Nina proposal ndugu zangu kwa mtu/watu walitayari tushirikiane tuanzishe radio station mkoa mpya Geita italipa sana! Mkoa huu sasa unakuwa mkoa ambao unatarajiwa kupanuka haraka sana ukizingatia unapesa sana kulingana na migodi iliyomo ndani yake! Sasa wanasema ujanja ni kujiwahi, tukianza na overage ya mikoa mitano tutapiga hadi jijini Mwanza na mikoa jirani kama Shinyanga! Sasa naomba kweli kama kuna watu/mtu aliyeserious kuhusiana na hili tuwasiliane na nitaeleza machato au mapendekezo yangu vizuri kwao! Email yangu: radioproducer@rediff.com aliyetayari tuwasiliane kwa mail!
   
 2. Bado Niponipo

  Bado Niponipo JF-Expert Member

  #2
  Feb 23, 2011
  Joined: Aug 15, 2008
  Messages: 680
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Mwaga hilo proposal na business plan hapa tuichambue.

  Je mtaji unahitajika kiasi gani kwa kurusha masafa ya mikoa 5 ya jirani.?
   
 3. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #3
  Feb 23, 2011
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,314
  Likes Received: 5,606
  Trophy Points: 280
  Unatakiwa kama 45m_50m hivi..kwa kurusha mikoa 5
   
 4. Radio Producer

  Radio Producer JF-Expert Member

  #4
  Feb 23, 2011
  Joined: Feb 4, 2011
  Messages: 867
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Mwanzoni tu ukianza zitapungua na utaanza kula income tu!
   
 5. Job K

  Job K JF-Expert Member

  #5
  Feb 23, 2011
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 6,867
  Likes Received: 2,807
  Trophy Points: 280
  Radio producer naomba utusaidie maana wengine hatujui hivi hawa jamaa wa radio wanapataje income! Kwa mfano hizi redio za FM inakuwaje?
   
 6. Radio Producer

  Radio Producer JF-Expert Member

  #6
  Feb 24, 2011
  Joined: Feb 4, 2011
  Messages: 867
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Job kwa sasa kuna hivi vitu ndo vinavyoingiza chumaaa:-
  1. Programs sponsorship
  2. Promotions fees
  3. Adverts &spots
  4. Production fees
  5. Contributions for wenye mapenzi
  6. Matamasha
  7. Competition run by the radio station
  8. Business programs hapa ni noma ukimpata mtu kama Radio Producer utatajirika ile mbaya!
  9. Na mengine mengi tu ndugu yangu hehehehe! :coffee:
   
 7. Susy

  Susy JF-Expert Member

  #7
  Feb 24, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 1,450
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  wazo jema
   
Loading...