Ukisoma hii course ajira ni lazima.

Jamani kwa nini tunajilazimisha lugha za wenyewe kama hatuwezi? Hebu acha mzaha wako wewe!!

I think now you can see the seriousness of these people....................for such type of english,I doubt about the quality of their education...No confidence totally....
 
kozi yenyewe miezi 4? kweli kuna kuelewa hapo?

Hapo sasa mkulu watu tunahangaika medicine mwaka wa 6 huu... anyways MAYBE! YOU NEVER KNOW.... waswahili walisema ukubwa wa pua si wingi wa kamasi
 
Sasa wakufunzi wenyewe chai,na course yenyewe itakuwa chai tu!! Yani hapo ni lazima ukose AJIRA!

Nadhani ni typographical error, bila shaka alitaka kuandika training badala ya train. Wengine wanatumia simu.
 
Nadhani ni typographical error, bila shaka alitaka kuandika training badala ya train. Wengine wanatumia simu.

acha kutetea upuuzi bwana..we unaona tense ina malyenge halafu unaleta kiingereza chako hapa...
 
Ondoa wasiwasi mkuu! From 2008 we have been train for 5 months and the participants are gaining alot

Karibu sana, tumefundisha wengi na sasa wameajiriwa katika redio mbalimbali.

Utafundishwa masomo yafuatayo:-
COURSE PLAN

Languages: English, Swahili

Last edited by Radio Producer; Today at 02:57 PM.
Hata ukiedit, watu wameshaona na wameweka kwenye quote!
 
Back
Top Bottom