Tangazo: Wenye shule za uandishi wa habari na utangazaji soma hapa

Radio Producer

JF-Expert Member
Feb 4, 2011
724
295
Kwa wote wanaosoma, habarini?
Natafuta kazi ya kufundisha Radio Production kwa watu wenye shule na vyuo vya ngazi ya chetiu vya utangazaji wa Radio na Tv. Kozi hii itaambatanishwa kwenye kozi zingine na kwamba inaweza kuwa kati ya wiki 2 hadi mwezi 1! Kama upo tayari andika email yako hapa chini nikutumie proposal ya Radio Production course!
 
Mie sijasoma koz yoyote inayohusiana na hii nikwasababu mbalimbali za kimaisha hiyo kama waweza kunitrain niko tayar kwa maelezo zaid,tuwasiliane kaka.
 
kaka mimi nahitaj pia kujifunza utangazaj kwa kupitia ww vp nipe hatua zinazotakiwa!
 
Back
Top Bottom