Mfumo mpya wa cheatting waingia!!

unamtamani shemeji yako?

Namtamani KIVIPI mkuu, mi nilikuwa NAMKUBALI KUWA KAWEKWA KWENYE CHUPA KATULIA TULI!!!!!!!! Sasa namuangalia kwa wasiwasi huenda nae mteja wa hii mbinu ya lunch time!!!! Jioni anazuga kama ZOMBIII kumbe mchana kafaidi mambo ya The Secretary!!!!!!! Anatuchora tu tunamuona mazombiiii.
 

Nipo curious na walio kwenye thread hii bila kuchangia
waweza nipa explanation ?
nini inaendelea?
 

Mwana, kwanza your respect. Yaani you are talented. Yaani unamuandikia mtu story inakuwa kama anaona matukio yote. Yaani ni zadi ya kuangalia 'Big Time Kinyaa Bongo movie'. Mchongo: Tafuta column kwenye nyuz pepa flani. Aaaaahhh!! lazima unikamate. Dah! huwa namis sana tells za namna hii. Streets kuna talents kibao ila mijengoni wamekaa siyo kabisa. Salute.
 
Nipo curious na walio kwenye thread hii bila kuchangia
waweza nipa explanation ?
nini inaendelea?

Wanajiuliza SWALI LANGU LA MSINGI!!!!!!! NA KUJIEVALUATE MIENENDO YAO NA WENZA WAO!!!!!!!! Anaeibiwa "Yawezekana Mali zangu ZAIBIWA sina habari eeeh!" muhusika "Tumeeee hili toto lishamwaga mtama kwenye kuku wengi, basi tena, hiii mbinu ishastukiwa!!!!!!!!"
 
Mimi nashauri tumwombe Mungu arekebishe 'sehemu zetu za secret'. Kama mtu ana mme/mke sehemu hizo ziwe active kwa huyo mme/mke tu. Kwa wengine wote ziwe dead kabisaaaaa ila tu zisioze na kunuka maana mji hautakalika! Amen!
 


You do sounds like her...
either you are her or you have the same talent..just saying..
 

teh teh teh.... kila la heri ila ukishikwa me SIMOOOOOOOO!!!!??
 
Mbona hiyo kawaida shosti....

kabisa cielo, inaonekana ofisin kwao lara 1 wastaarabu hadi kachelewa kugundua, chezea lunch time wewe watu hawaendi na magari yao ni mwendo wa tex tu, maderva wanajua mengi jamani
 
Hahahah anajua mkabeni aseme lol
 
Hii ni kawaiiiidaaaaa sana

MTUMEEEEEEEEEEE!!!!! Mi nilijua kwetu tu! Kumbe hata kwenu WAPO??????? BASI NI JANGA LA KITAIFA!!!!!! Kama kila ofisi wapo si TUMEKWISHAAAAA!!!!!!!!!!!
 
Mimi naomba kuuliza huko hotelini ulikuwa unasupply nini mwenzetu? Nauliza kwa wema tu manake si mbaya tukishea mahusiano na business kidogo. Naomba nijuze hiyo biashara yako, wana jamvi tupendane?

Samahani lakini kama ulikuwa umeenda kubinjuka na si kibiashara.
 
kwa nyama tu,wabongo tunatafunana kama carnibals.. miwaya nayo kama kazi,jamani TACAIDS kazeni buti huko ...lol!
 
I guess it's the matter of CONFLICT of interests...
Unajua SWALI siku zote ni moja!!...Huyo MKE/MUME wa mtu anafanya na nani?..Na kwa nini huyo mtu asiwe MIMI au WEWE?...kwani lazima awe YULE?? If this is the trend then who are the victims? cuz everybody denies and blame!!

Nipo curious na walio kwenye thread hii bila kuchangia
waweza nipa explanation ?
nini inaendelea?
 

We nawe MPANA KAMA PAZIA LA SINEMA!!!!!! Biashara ya watu ile! Nisiposema nitaonekana NILIKUWA NABANJULIWA!!!!!! Itabidi tu niseme manake ni NOMA!!!! Ni biashara common tu, ya kussuply KUKU, MAYAI, SAMAKI, NYAMA NA BIDHAA NYINGINE KWA ODA MAALUMU. Kama UDALALI, UNACHUKUA KWA WAKULIMA NA WAFUGAJI, UNADELIVER HOTELINI. VERY STABLE BUSINESS UKIWA NA ODA HOTELI ZAKO 50 HIVI, wala huhitaji kuajiriwa. Plus faida ni kubwa pia na risk ni ndogo. Alafu kuna room for expansion, manake saivi mwenyewe anasupply hadi SUPERMARKETS NA MADUKA YA KAWAIDA. Mwenyewe nataka KUIBA IDEA YA WATU nijifanyie wenyewe. Sema ndo HUKAUKI BAR NA GUEST.
 
Wiyelele tushampa solutn amchukue beki3 au ka vp a-apply hii cheating style akirud home jioni mwepesiii na tabasamu tele wala hatakumbuka kuwa wife wake hajaosha vyombo lol
 
Last edited by a moderator:
Akina dada Ogopa anayekununulia gari, na Kuwa na bidii ya kutafuta house girl mpya kila mnapomhitaji, yeye kila siku asubuhi anaondoka wa mwisho halafu anarudi nyumbani MCHANA kuangalia usalama wa nyumba. Niliiona hii kwa jirani nikachoka.
 
You do sounds like her...
either you are her or you have the same talent..just saying..

Hahahahaaaa!!!! Ni watu wawili tofauti mkuu. Ila ni kweli huwa napenda kusimulia kwa style kama yeye. Halafu kuna kitu umenishtuwa. Unajuwa sikuwa na idea kama muandishi ni 'she'!! Kuinona kamba hewani nikairukia tu, sikumbuki hata kuangalia avatar. Dah! kama ni 'she' inabidi respect kwake iwe zaidi.
 
umenikumbusha,nilipokuwa nafanya kazi,kuna kaka mmoja na mpenzi wake wote tulikuwa section moja,walikuwa hata aibu hawana,wakitoka tu,watu wanaanza kunong'ona,hao wanaenda,na time ya kurudi hurudi pamoja.na kuna mwengine section hiyo hiyo,walikuwa wakifanya hayo hayo.ile ofisi,kila mtu alikuwa na wake.na kila mtu alikuwa na mke na mume nyumbani.mmh ilikuwa balaa.nilikuwa pale temporary.mapenzi ya ofisini mbaya zaidi,mmoja afe kwa UKIMWI.na wengine wanakuwa nyuma yao,maana watu wanapokezana tu,utafikiri ofisi imelaaniwa
 
Taarifá pia ni kwamba Embassy Hotel si mnaiona haina lolote! Basi ndio maarufu sana kwa shughuli hiyo. Mchana pako busy pale. Wateja wanapitia mlango wa nyuma!

Loh umenikumbusha enzi zile tuliitumiaga sana hiyo hotel tena mida hiyo hiyo ya lunch time. Hee hivi hadi leo bado tu mambo yako vile vile?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…