Himidini
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 5,534
- 4,190
++
Ndugu wana JF nimekuwa nikitazama kwa makini mwenendo wa haki za wanawake au haki sawa ktk siasa,uchumi,tamaduni,ndoa na mahusiano mengineyo ya kijamii.
Jambo ambalo lipo wazi ni kuwa harakati hizi ni zinapata mafanikio sana Lakini zipo dalili nyingi kuwa tunajenga mfumo jike taratibu na kwa nia njema.
Hoja yangu ni hii Je,,ni kweli kuwa Mfumo jike ukiimarika ndipo ukombozi kamili wa mwanamke utatimia?
Bila shaka mwanamke ameonewa kwa miaka mingi chini ya mfumo dume Je,mfumo jike ukiwepo mfumo dume utatibika?
++
Kwa kuwa hili ni jukwaa la great thinkers,,naomba tujadiliane.KARIBUNI