Mfumo jike ni tiba ya mfumo dume?

Mfumo jike ni tiba ya mfumo dume?

Ukishaanza kutenga watu kwa "mfumojike" vs "mfumodume" ushaji undermine kwa takriban nusu nzima ya akilimali.
 
++Lakini ukikanyagwa lazima useme umeumia Pengine si kelele ni kutaka kusikika?++

Himidini suala hapa sio kumfikia nani na nani suala hapa ni walengwa wenyewe wanafikiwa na hizi taarifa za kuwepo au kutokuwepo kwa mfumo dume
Yaani je wananufaika na kutetewa huko au kuna watu wanakula pesa tuu kwa warsha na makongamano na semina za kutetea wanawake ila kiuhalisia wanajua haliwezekani
 
Last edited by a moderator:
Nawasalimu Mabibi na Mabwana;
Hakika uzi huu unaelimisha jamii japo upo mbali kuwafikia wengi, Lakini upeo wake una lenga wabadiliko huko mbeleni...
kwa mtazamo wangu mie nanusa haraufu ya " Nyumba kusambaratika(familiya devestation), Talaka kuongezeka,Crisis of Civilization,uhasama wa udugu, nk."
Sababu ni ndogo tu yakuwa MfumoMan anakuwa ana miliki wanawake wengi around wakimzunguka kwa kijamii na kiukoo wa karibu,udugu na kimahusiano(1,2.3wifuz). Naye huyo Baba anamudu kuhimili uzito wote na kujitolea huduma.
.. Hapo sasa ukiilete MfumoJike Mmmmh hesabu zitaanza na uchoyo utaibuka, ubagaguzi wa kuchambu-chambua utadiriki kukamilisha malengo ya kike, Yaani mimi ni mimi tu, au yangu ni yangu hapatukwa na ustawii wa jamii. JAMBO ambalo halimo katika kamusi ya Kiafrika kabisa. mmh yasitukute!!
Nitaendelea pakihitajika,
 
Back
Top Bottom