Mfumo Dume ukoje

Mfumo Dume ukoje

Lady niece

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2014
Posts
953
Reaction score
414
Mwadilla


Mwenzenu nimejiuliza sana hili swali wala sijapata ufumbuzi
nimeona nije nishare nanyi swali hili nadhani hapa tutapata
maana ya swali hili kwani limenitatiza sana na wengi
wanaopenda kulitumia swali hiili ni jinsia ya kike

Utawaona wanawake wengi wakisema kuwa wamechoka
kugandamizwa na mfumo dume. Sasa huu MFUMO DUME
ukoje na chanzo chake nini? na je Kwanini WANAUME wengi
wamekuwa wagandamizaji dhidi ya wanawake,
Wanaume wamekuwa ni wanyonyaji sana dhidi ya wanawake
Katika kuadhimisha siku ile ya wanawake slogan kubwa
ilikuwa ni ugandamizaji na kuondoa mfumo dume ulioko
unaowakumba wanawake wengi, Wengi wao wamekuwa
hawana usemi juu ya waume zao na wengine wanapigwa
utadhani wanapiga ngoma kumbe ni mtu hii iko kanda ya ziwa
mkoa fulani, eti wanadai kuwa ni mapenzi na kumbe si chochote
ni ugandamizaji na unyanyasaji uliokithiri juu ya wanawake

Marafiki zangu je mwalionaje hili hebu tusongeeni tujadili
kwanini huu mfumo dume umekuwa kwa kasi sana duniani
na hasa bara hiili la afrika. Toeni maoni yenu hasa wanawake
wa hapa jf na wale.
 
Ni ideology ambayo haipo manmade state of mind which simply doesn't exist
 
Back
Top Bottom