Mfugaji wa Mbuzi wa Maziwa anayepaswa kuigwa

Ndugu zangu napenda kuwakumbusha Mbegu bora kabisa za Mbuzi Red Kalahare toka south Afrika bado wanapatikana wapo Mavuno farm. 0713 282 715/ 0713 544 411. piga hizo number utapata maelezo ya jinsi ya kupata Mbuzi bila shaka kabisa, karibuni sana MAVUNO FARM. Ingia Instagram ya mavunofarm utaona shamaba letu linavo shamiri.
 
Unacho kisema kipo na tuna kiishi, kuna saa uanjiuliza nani aliwatuma kwenda kusomea hiyo taaluma, kuna majibu ya hovyo unayapata toka kwenye vet apo wakati unahitaji huduma mpaka unajiuliza huyu ni wa wanyama au vipi. Na ndio maana ina fika mahali unajitahidi mfugaji baadhi ya mambo unajifunza kufanya mwenyewe maana ukiwategemea utajuta kufuga
Mkuu inabidi hata mwanao mmoja unampeleka asomee ili aje baadae kushika usukani

Hawa watu wengine wana roho mbaya sana
Mungu awape muongozo mwema
Nayaona madhila mnayokutana nayo poleni sana
 
Tatizo bongo Kuna vitu vimeshindwa kufanya vizuri kibiashara, vimebaki kwa watu wachache ndio wanavitumia na kusifia ni vitamu balaa, lakini hauvikiti kwenye hoteli za public.

1. Maziwa ya mbuzi ( wengi wanasema Yana ladha na harufu mbaya a.k.a shombo)

2. Nyama ya Bata wa aina zote, huizikuti kama menyu za mahotelini au street foods hivyo ukifuga sio kama kuku ambao utawakuta Kila sehemu hivyo utakisa soko.

3. Nyama ya Sungura, wengi wanamwona kama paka, wengine kama jamii ya nguruwe, wengine wanamwonea huruma kumchinja na kula nyama yake kwani ni mpole na myenyekevu hivyo kwao kumchinja ni kama kumuonea
 
hapo kwenye maziwa ya mbuzi umenigusa mkuu😂,harufu yake uwii
 
Ndugu zangu napenda kuwakumbusha Mbegu bora kabisa za Mbuzi Red Kalahare toka south Afrika bado wanapatikana wapo Mavuno farm. 0713 282 715/ 0713 544 411. piga hizo number utapata maelezo ya jinsi ya kupata Mbuzi bila shaka kabisa, karibuni sana MAVUNO FARM. Ingia Instagram ya mavunofarm utaona shamaba letu linavo shamiri.

Tupia kapicha tuwaone hao mbuzi,nasikia ni breed nzuri sana.
 
Tatizo bongo Kuna vitu vimeshindwa kufanya vizuri kibiashara, vimebaki kwa watu wachache ndio wanavitumia na kusifia ni vitamu balaa, lakini hauvikiti kwenye hoteli za public.

1. Maziwa ya mbuzi ( wengi wanasema Yana ladha na harufu mbaya a.k.a shombo)

2. Nyama ya Bata wa aina zote, huizikuti kama menyu za mahotelini au street foods hivyo ukifuga sio kama kuku ambao utawakuta Kila sehemu hivyo utakisa soko.

3. Nyama ya Sungura, wengi wanamwona kama paka, wengine kama jamii ya nguruwe, wengine wanamwonea huruma kumchinja na kula nyama yake kwani ni mpole na myenyekevu hivyo kwao kumchinja ni kama kumuonea

Kwamba wanamuonea sungura huruma kumchinja
 
Changamoto ni malisho na maji; kipindi cha ukame au kiangazi, utawasikitikia mifugo
 
Tatizo bongo Kuna vitu vimeshindwa kufanya vizuri kibiashara, vimebaki kwa watu wachache ndio wanavitumia na kusifia ni vitamu balaa, lakini hauvikiti kwenye hoteli za public.

1. Maziwa ya mbuzi ( wengi wanasema Yana ladha na harufu mbaya a.k.a shombo)

2. Nyama ya Bata wa aina zote, huizikuti kama menyu za mahotelini au street foods hivyo ukifuga sio kama kuku ambao utawakuta Kila sehemu hivyo utakisa soko.

3. Nyama ya Sungura, wengi wanamwona kama paka, wengine kama jamii ya nguruwe, wengine wanamwonea huruma kumchinja na kula nyama yake kwani ni mpole na myenyekevu hivyo kwao kumchinja ni kama kumuonea
Sahihi kabisa, maziwa ya mbuzi sinywi hata kwa dawa labda kwa kuandikiwa na daktari,nyama yake nakula kichizi.

Sungura naanzaje kumla?vitu vingine Ni Uroho na ushenzi tu.White meats ziko kibao tu.Yaani unamkamata kabisa sungura na kumchinja?bloody fuckin' kabisa.
 
Maziwa mbuzu yanashida gani?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom