kingphisher
Senior Member
- Nov 30, 2024
- 153
- 272
Ni Siku ya nne sasa, mawazo yamejaa kichwani, usingizi hauji, kichwa kinauma. Nakaa hadi saa nane bila usingizi.. mawazo sana.
Wanasema, kuna umri ukishafika, kauli ya "I am from a poor background " inapotea, na wewe ndiye unayekuwa "background" I have tried and still trying to substantiate it, lakini mazingira bado yanakataa..
Nimejaribu kuomba nafasi ajira portal lakini sijafanikiwa kuitwa interview hata moja pamoja na kwamba vigezo vipo. I can't blame labda wakati wangu bado.
Nimefanya kazi na kampuni moja lakini mkataba ulipoisha, hatukuafikiana vizuri kuRenew mkataba.
I have two years of working experience as an ICT trainer/consultant upande wa software Development Life cycle. (From analysing -> Design-> ...... Development amd deployment) and ready to work with any institution/company as a trainer or as a software developer respectively.
Niishie hapa, lakini wakuu, usingizi hauji. Nikiangalia walioko nyuma yangu, aisee ...
Muwe na usiku mwema...