Mfanye mpenzi wako awe mshkaji wako💞💞

Mfanye mpenzi wako awe mshkaji wako💞💞

Lakini dada mimi nikikaa mshikaji u tell I’m not romantique.

Baba Mwampoo is a man and half.. tumpe tu maua 🌺🌺

Najua anajua uliamka saa 8 ukala tikiti.. we dada ni mwamba geu
😀😀😀Umenikumbusha rafikiyangu tulikata tikiti kubwa saa mbili usiku akaingia nalo chumbani nimeamka anatoa vyombo kamaliza na lililobaki alikuja kubeba na kamaliza lote😀😀😀
 
😅😅
Hizi vitu zinafanya nammiss mno Baba Mwamposa wangu, that guy ni mshikaji ile kinoma, ananiitaga 'mwamba wangu' sababu naweza kula tikiti lote mwenyewe..!!
Sio Maua, nakupa mti wako😆😆😂.
👉Yaani Ume nitisha Hadi Mimi mpenda misosi
Cc Depal 😂😆, ona wenzio Wana penda kula- we ume kalia story za monky de Luffy 🤣🤣😂😂
 
Sio Maua, nakupa mti wako😆😆😂.
👉Yaani Ume nitisha Hadi Mimi mpenda misosi
Cc Depal 😂😆, ona wenzio Wana penda kula- we ume kalia story za monky de Luffy 🤣🤣😂😂
😂😂😂
Nimecheka sana, thank you IB..!
Depal hawezi maliza hata kipande kimoja cha eet-sum-more..!!
 
😀😀😀Umenikumbusha rafikiyangu tulikata tikiti kubwa saa mbili usiku akaingia nalo chumbani nimeamka anatoa vyombo kamaliza na lililobaki alikuja kubeba na kamaliza lote😀😀😀
Alikuwa hajala ama lilimzidia utamu?
Maana tikitiki kama ulikula ukashiba huwezi kula jingi sbb linajaza tumbo na ile mimaji yake.
 
Alikuwa hajala ama lilimzidia utamu?
Maana tikitiki kama ulikula ukashiba huwezi kula jingi sbb linajaza tumbo na ile mimaji yake.
Sikumoja alikuwa mgonjwa akaja kulala chumbani kwangu niwe namuangalia nakuta mgonjwa anatoka nauliza vipi unajisikia vibaya kumbe kaenda kukata tikiti kakaa zake kala kapanda kitandani 😂😂😂akasema siku nikiumwa nikashindwa Kula tikiti mjue naelekea kufa 😂😂😂
 
Ni ubabe tu.
Yoweri-Museveni.jpg
 
😂😂Copy kabisa na rafikiyangu mwanzoni nilikuwa namshangaa kula matikiti kiasi kile😀😀
😂😂😂
Ila honestly me nasemea yale ya 1K na 2K, siyo yale makubwa kama nyumba..!!
Kabla sijalala nala nusu, kisha naweza amka zangu katikati ya usiku nikamalizia kipande changu fresh..!!
 
Sikumoja alikuwa mgonjwa akaja kulala chumbani kwangu niwe namuangalia nakuta mgonjwa anatoka nauliza vipi unajisikia vibaya kumbe kaenda kukata tikiti kakaa zake kala kapanda kitandani 😂😂😂akasema siku nikiumwa nikashindwa Kula tikiti mjue naelekea kufa 😂😂😂
😂😂😂😂
Me nakaa na kisu ndiyo raha, sasa kuna Mama Kija yeye alikuwa anakula na kijiko, unakuta tikiti limechimbwa kama shimo..!!
 
Back
Top Bottom