Mfanye mpenzi wako awe mshkaji wako💞💞

Mfanye mpenzi wako awe mshkaji wako💞💞

😂😂😂 and the so called ugaidi must go to hell.. I wanna be a new born🤣🤣

Unavyoyala sasa utadhani hata unaujua msimu wake.

Eiiiimeeeen
😅😅😅
IJN i receive a new born baby, Ameeen..!!

Kwani Morogoro ni mbali..?? 'nimekumbuka kile kilimo cha matikiti cha kwenye makaratasi..!'😅😅
 
Hayo mambo ni karama,not for everyone,Kuna watu mapenzi ni too official
 
Unauonea sana mdomo wangu ujue🤣🤣

Gudinaiti
Ulitakiwa umeuchapa usingizi ulipomaliza zoezi la kubinukia kitchen cabinet na stove

,umekimbilia kutupatia uzi ili ututambie tu😅
Next time muumuke hizo WOWO kwa moto.
 
Nilikuwa sijaisoma hii 🤗

Kweli Vijana wana faidi 🏃🏃
IMG_2858.jpeg
 
Ulitakiwa umeuchapa usingizi ulipomaliza zoezi la kubinukia kitchen cabinet na stove

,umekimbilia kutupatia uzi ili ututambie tu😅
Next time muumuke hizo WOWO kwa moto.
Mbona unanifokea sasa jamani….si tulikubaliana nibembelezwe!😁

Na wowowo halitoungua ng’odo😁
 
Back
Top Bottom