Mtendaji wa kaya
JF-Expert Member
- Mar 16, 2014
- 334
- 59
- Thread starter
- #61
mmmh!!!
sina hakika na usemalo lkn kazi za migodini ni nzuri in terms of payments ingawa ni risk kama zilivyo za viwandani
Hujui ukisemacho! miner trainee anaanza na basic ya 539000Tsh...laki tano na unafanyia kazi underground! ukipanda kuja Miner 1 basic 759000Tsh...sasa niambie hiyo payment nzuri iko wapi