Mfanyakazi anahitaji mkopo wa haraka

Sir M.D.Andrew

JF-Expert Member
Jul 30, 2012
201
37
Salaam! Ndugu zangu,kuna jamaa yangu ni mfanyakazi,anahitaji mkopo wa haraka wenye masharti nafuu! Amepata dharura hivyo anahitaji milioni 5 cash mkopo,yupo tayari kulipa deni hilo kwa makato ya mshahara wake--mwenye kusaidia ani PM au aandike namba zake hapa
 
kuna benki ya NMB,DCM,CRDB,POSTA kama anataka kwa haraka zaidi ajiandae kuliwa kitu kidogo.
 
Back
Top Bottom