Kama wewe ni mtumishi na unauhitaji wa mkopo wa haraka au kuuza mkopo wako wa zamani pita hapa..

Wakipekee

JF-Expert Member
Aug 21, 2019
5,358
9,232
PLATINUM CREDIT co. Ltd..

Habari njema kwako mtumishi napenda kukupa taarifa kua tunatoa huduma za MIKOPO kwa watumishi wa umma, mikopo yenye riba nafuu ndani ya saa 24.

Muda wa marejesho ni kuanzia miezi 3 hadi miezi 96 (miaka nane) , na hatuna gharama yoyote kwenye mkopo wako (hamna makato kiasi unachokopo ndicho hicho unachopewa cash).
Mkopo ni kuanzia 100,000 (laki moja) hadi 20,000,000 (Milioni ishirini) pia tuna mikopo ya pikipiki.

Sifa za Muombaji ni...
•Awe na passport size 1
• Awe na salary slip ya mwezi mmoja
•Awe na nakala ya kitambulisho cha kazi
•Awe na Kadi ya benki (ATM Card)
•Awe na NIDA au Kadi ya mpiga Kura

TUPIGIE 0769781474
View attachment 2544358
 
Ewe mtumishi wa umma, hata kama una shida kiasi gani! Usije ukajaribu kuingia kwenye huu mtego. CRDB, NMB, NBC, na benki nyinginezo nyingi tu, zinatoa mikopo yenye riba nafuu.

Usijaribu kukopa kwenye hizi taasisi za kifedha kwa ushawishi dhaifu wa kupata mkopo ndani ya masaa 24!! You will cry my dear civil servant. Hawa jamaa wana riba za kutisha. Ila wakija kukushawishi, watakudanganya kwa aina zote za maneno matamu.

Potelea mbali kama nitaonekana snitch! Ila ni wajibu wangu kuwasaidia wengine ili wasiingie kwenye huu mtego wa hawa Ma Shark Loans.
 
Umemaliza mkuu
 
Yaani nikiona plantinum credit nasikia kichefu chefu kabisa kwa utapeli wao wanaofanyia watu ,hapana aisee watumishi wenzangu tukamae na bank ABSA,NMB,CRDB,EQUUTY ,NBC lakinj sio hao micro finance hapana aiseee
 
PLATINUM CREDIT co. Ltd..

Habari njema kwako mtumishi napenda kukupa taarifa kua tunatoa huduma za MIKOPO kwa watumishi wa umma, mikopo yenye riba nafuu ndani ya saa 24.

Muda wa marejesho ni kuanzia miezi 3 hadi miezi 96 (miaka nane) , na hatuna gharama yoyote kwenye mkopo wako (hamna makato kiasi unachokopo ndicho hicho unachopewa cash).
Mkopo ni kuanzia 100,000 (laki moja) hadi 20,000,000 (Milioni ishirini) pia tuna mikopo ya pikipiki.

Sifa za Muombaji ni...
•Awe na passport size 1
• Awe na salary slip ya mwezi mmoja
•Awe na nakala ya kitambulisho cha kazi
•Awe na Kadi ya benki (ATM Card)
•Awe na NIDA au Kadi ya mpiga Kura

TUPIGIE 0769781474
View attachment 2544358
images (10).jpeg
 
𝑴𝒔𝒊𝒇𝒂𝒏𝒚𝒆 𝒎𝒕𝒖 𝒂𝒌𝒂𝒖𝒌𝒊𝒎𝒃𝒊𝒂 𝒖𝒛𝒊 𝒘𝒂𝒌𝒆 𝒘𝒂𝒌𝒖𝒖. 𝑴𝒑𝒂𝒌𝒂 𝒔𝒂𝒔𝒂 𝒘𝒆𝒏𝒚𝒆𝒋𝒊 𝒏𝒂𝒐𝒏𝒂 𝒏𝒊 3 𝒘𝒂𝒈𝒆𝒏𝒊 0.

𝑯𝒂𝒕𝒂𝒓𝒊 𝒔𝒂𝒏𝒂...!
 
Mimi sijawahi kukopa kwenu lakn mnanitumia msg kila wakati sijui number yangu mmeipata wapi, nitawashtaki
 
Back
Top Bottom