mbu wa dengue
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 10,251
- 14,011
Unajua shida ukishakuwa tajiri unakuwa na tamaa ya kupata zaidi huwezi kukubali uonekane umefilisika wakati kuna watu hawana hata uhakika wa kula milo 3 kwa siku ila ukishakuwa tajiri huwezi kukumbuka haya ndio shida inapokuwa.Sana mkuu, usione mtu ana pesa na maisha mazuri mambo ni mengi, huyu mwamba nilikua namjua. Nawaza kwa nini asingeuza baadhi ya mali zake alipe madeni kama chanzo ni hicho.
Vipi kwa sisi tunao ishi marekani halafu kihuahalisia wangu naweza kukukupa kazi wewe digidigi ,ujenge nyumba halafu nikuhudumie miaka mtano wewe na watoto wako? Ila tunataka tofauti nmavyodha I?.Sio lazima. Kuna mtu wangu wa karibu sana alikuwa na madeni mabaya hadi yakaanza kumwathiri kiafya ikabidi akate plots kwenye shamba lake na kuanza kuuza ili kulipa madeni. Na sasa hivi yuko safi hajafilisika
Mimi nakataa kiongozi riziki zilizonikumba hivi niusikitikie utajiri hapana nipe abc kiongoziUnajua shida ukishakuwa tajiri unakuwa na tamaa ya kupata zaidi huwezi kukubali uonekane umefilisika wakati kuna watu hawana hata uhakika wa kula milo 3 kwa siku ila ukishakuwa tajiri huwezi kukumbuka haya ndio shida inapokuwa.
Ndio maana wakati mwingine ukifikiria sana haya mambo utagundua kwamba kuwa tajiri ni risk.
Kuna siku kwenye uzi mmoja niliwahi kucomment kwamba maskini wengi wana furaha kuliko matajiri ila kuna watu hawakunielewa wakanipinga.
Sijakuelewa mkuu.
Vipi kwa sisi tunao ishi marekani halafu kihuahalisia wangu naweza kukukupa kazi wewe digidigi ,ujenge nyumba halafu nikuhudumie miaka mtano wewe na watoto wako? Ila tunataka tofauti nmavyodha I?.
Hao maskini wenye furaha ni wa kucharazwa viboko. Mtu huna uhakika wa kula mchana unakuwaje na furaha?Unajua shida ukishakuwa tajiri unakuwa na tamaa ya kupata zaidi huwezi kukubali uonekane umefilisika wakati kuna watu hawana hata uhakika wa kula milo 3 kwa siku ila ukishakuwa tajiri huwezi kukumbuka haya ndio shida inapokuwa.
Ndio maana wakati mwingine ukifikiria sana haya mambo utagundua kwamba kuwa tajiri ni risk.
Kuna siku kwenye uzi mmoja niliwahi kucomment kwamba maskini wengi wana furaha kuliko matajiri ila kuna watu hawakunielewa wakanipinga.
Matajiri hawalali kama wanavyolala maskini,maskini anaweza kulala hata vichakani au mlango wazi na hana wasiwasi lakini tajiri anamiliki jengo kubwa ndani ya geti kubwa lakini anaogopa kulala ndani kwa hofu ya kuvamiwa na majambazi,matajiri wengi hulazimika kukesha kwenye nyumba za starehe kama club,bar,casino kisha wanarudi nyumbani asubuhi wanajipumzisha kidogo masaa machache kisha wanakurupuka kuendelea na majukumu hii yote ni kuwapoteza maboya maadui na wahalifu wanaomuwinda.Mimi nakataa kiongozi riziki zilizonikumba hivi niusikitikie utajiri hapana nipe abc kiongozi
Wewe ukiwa na pesa unaweza kuinunua furaha?Hao maskini wenye furaha ni wa kucharazwa viboko. Mtu huna uhakika wa kula mchana unakuwaje na furaha?
Nina maana mswahili yoyote akikuambia kitu, tulia kwanza kisha jiulize mtu huyo ana weledi kiasi gani.Tuamini kipi na taarifa ndio hiyo mkuu.
Sawa mkuu nmekuelewa vyemaNina maana mswahili yoyote akikuambia kitu, tulia kwanza kisha jiulize mtu huyo ana weledi kiasi gani.
Mfano mtu akikuambia jirani anatembea na mke wako usiamini moja kwa moja, na wewe fanya utafiti kidogo.
Sasa niamini kipi mkuu na taarifa ndio hiyo? Ukweli ni upi kama sio huoKwa hiyo wewe unaamini kabisa kajinyonga?
Ni kweli kabisa mkuu, kuna jamaa yangu mmoja aliwahi kuniambia kuliko ashuke kiuchumi kufikia kufilisika ni bora asiishi tena. Pesa nyingi ina risk sana kuimaintainUnajua shida ukishakuwa tajiri unakuwa na tamaa ya kupata zaidi huwezi kukubali uonekane umefilisika wakati kuna watu hawana hata uhakika wa kula milo 3 kwa siku ila ukishakuwa tajiri huwezi kukumbuka haya ndio shida inapokuwa.
Ndio maana wakati mwingine ukifikiria sana haya mambo utagundua kwamba kuwa tajiri ni risk.
Kuna siku kwenye uzi mmoja niliwahi kucomment kwamba maskini wengi wana furaha kuliko matajiri ila kuna watu hawakunielewa wakanipinga.
Alishaanza ila sio wa kumlinganisha na leopard mkuuSasa uyo dogo si ndio ana anza shida kupokea ushauri kutoka kwa kila mtu
Ni hatua ya mwisho kabisa ya kukata tamaa.Ila mi nadhani hadi mtu ajiue basi akili imevurugika.
Na shatours, ahsante tours hao wapo kwenye gemu kitamboLeopard ana mizizi mirefu kwenye hiyo biashara. Mimi tangu najua mema na mabaya Leopard yupo tena kwa ubora wa hali ya juu. Leopard na Ranger wakongwe mno
Kojoa ulale sawa umechoka mtoto mzuri etyAlishaanza ila sio wa kumlinganisha na leopard mkuu