Kumbe kuteka ni kazi ya serikali nilikuwa sijui.VITA YA UCHUMI NI HATARI SANA , KUNA ANAYE JUA HUYO JAMAA EXACTLY ANAFANYA BIASHARA GANI HAPA NCHINI , EMBU TULIENI SERIKALI IFANYE KAZI YAKE , pandikizi wote wanaokwamisha maendeleo ya hili taifa watajulikana na wataondoka