Ni afadhali hilo kuliko wange muua.. Ataendelea vizri na biashara zake. Washukuru Raphael ni Mkenya, angekuwa mnyaranda, weee..mtu mrefu asingenyamaza...Nahisi kawa deported hiyo!!!
Ni afadhali hilo kuliko wange muua.. Ataendelea vizri na biashara zake. Washukuru Raphael ni Mkenya, angekuwa mnyaranda, weee..mtu mrefu asingenyamaza...Nahisi kawa deported hiyo!!!
Nimeshindwa kuelewa, inakuaje gari binafsi ya tanzania inaingia kenya bila kukaguliwa alafu fastafasta inarudi tena tanzania bila kukaguliwa
Kama kweli hayo yamewezekana, basi ndio maana kenya wanapigwa sana na al-shabaab, anyway wajifunze kufanya ukaguzi wa magari yanoingia na kutoka nchini mwao fastafasta
Kama alitekwa na mkuu wa nchi anafahamu ni rahisi kuwasiliana na Uhuru na wakapeana mchongo gari ikaingia... Mpakani kukiwa na taarifa za ujio wa gari fulani inaendeshwa na ffulani na kitambulisho cha TISS kwa nini isiingie?..Jamaa ameenda chato kuficha aibu tu baada ya kuona mtekaji kajulikana na soon angewekwa kwenye chain..Kwa mantiki hiyo kenya kiulinzi haipo salama, haowezekani gari ikaingia kutoka tanzania ikafika hadi mombasa bila kukaguliwa
Technology era huwezi kujificha na android mfukoni, ndiyo vita ya Marekani na Huawei. IT wa TISS wengine ni wanafunzi wetu.Looh labda upanga ya Mombasa.
Mke wake kasema katekwa wewe unasema ana mambo yake kati ya mke wake na wewe tumwamini nani au wewe ni nyumba ndogo yake.Alisema ametekwa lakini pia kasema mume wake alimwambia asiseme,umewahi kujiuliza kwa Nini alimwambia hivyo?
Nakuona wa ajabu sana eti unashangaa kupita mpaka tena wa Kenya na gari bila kukaguliwa, dolali mkuu zinacheza.Kwenda kenya na gari binafsi ya tanzania?? Hawakufanya ukaguzi? Na kama hawakufanya basi ndio maana kenya washambuliwa sana na al-shabaab
Nchi hii ina viongozi fulani hivi maoga kama mbwa koko!
Nyumba ndogo utakuwa wewe maana umekomaa katekwa utadhani alikujulisha hilo.sawa acha tuwaamini kwamba kweli tiss walimteka na wakamsafirisha Hadi Mombasa na gari binafsi tena wakifuatiliwa na majasusi wenye teknolojia ya Hali ya juu kutoka Kenya wakiongozwa na kigogo wakambwaga kule na wakafanikiwa kurudi bongoland bila kukamatwa Wala kukaguliwa popote pale!!umeridhika kigoli?Mke wake kasema katekwa wewe unasema ana mambo yake kati ya mke wake na wewe tumwamini nani au wewe ni nyumba ndogo yake.
Watu wanaenda ulaya kwa passport za kugushi sembuse temporary pass ya Kenya na on arrival visa.Nyumba ndogo utakuwa wewe maana umekomaa katekwa utadhani alikujulisha hilo.sawa acha tuwaamini kwamba kweli tiss walimteka na wakamsafirisha Hadi Mombasa na gari binafsi tena wakifuatiliwa na majasusi wenye teknolojia ya Hali ya juu kutoka Kenya wakiongozwa na kigogo wakambwaga kule na wakafanikiwa kurudi bongoland bila kukamatwa Wala kukaguliwa popote pale!!umeridhika kigoli?
Acha ujinga kwenye mambo ya msingi ni umama huoKumbe walitekana na zitto na ndio alipitia Zanzibar ali akayapange huko Mombasa kabla hajadakwa akaamua kutuma kikosi kazi no hatari sana kwa zitto kama ataamua kuiga tabia ya bosi wake was zamani mbowe .
Bring back Ben saanane
Niamini mimi. Mke wake anasema aliyofundishwa. Mimi ni mwanamme na siwezi kuwa nyumba ndogo.Mke wake kasema katekwa wewe unasema ana mambo yake kati ya mke wake na wewe tumwamini nani au wewe ni nyumba ndogo yake.
Kwani lazima gari la Tanzania livuke boarder ?si wanafika boarder wanaacha gari la Tanzania wanakodisha la Kenya wanarudi wanaingia la kwao wanagooooo home.Sasa akili ndogo tu kuwa gari la Tz linapitaje mpakani?Hata wanaweza kuhire pikipiki ikamvusha tu hapo boarder kwani haiwezekani?