Mfanyabiashara ajiua kwa risasi baa, polisi wachunguza

Mfanyabiashara ajiua kwa risasi baa, polisi wachunguza

Utajiri wa mkataba ni hatari sn..!Hata musoma express au zuberi trans akikuovertake waweza kwenda kujiua.!
 
Kugonga itakuwa just matokeo. Kutakuwa kuna ishu nyingine ilikuwa inamssumbua
 
shem ameamua kujipeleka mwenyewe kwenye ziwa liwakalo moto ajirest in fire huko aliko
waanasema mshahara wa dhami ni mauti kajipeleka mwenyewe

Ha ha ha shem ladyfurahia.. Kwa imani yetu huyu amekufa na ushahidi wa makosa yake mkononi.. Huko wala hawapati shida kutafuta file lake..
Ila sadly pombe imempa ushauri wa kilevi.. Usiendeshe gari ukiwa umelewa.. lakini muhimu zaidi USIBEBE SILAHA UKIENDA BAR..
 
Last edited by a moderator:
Ametangulia tutafuatia!huyu marehemu bilionea aliwezezaje kujitwanga risasi mara tatu!
 
Arusha iko shida sana tu ingawa wenyewe watakuja na maneno lukuki lakini attitude za vijana na lifestyle isipobadilika jipangeni kuweka tanga la kudumu hapo mnara wa Azimio!!!!

Acha uongo we mtoa post,
Bastola yake inabeba risasi sita sasa kwa idadi yako mbona zimefika saba, ajajiua mwenyewe
 
arusha iko shida sana tu ingawa wenyewe watakuja na maneno lukuki lakini attitude za vijana na lifestyle isipobadilika jipangeni kuweka tanga la kudumu hapo mnara wa azimio!!!!

maneno mazito kwa watu wenye fikra pana watakuelewa
 
Acheni uongo risasi ni moja, tena kapigwa na mtu anaesadikika kuwa ni police

Nani muongo sasa Mimi najibu kulingana Na habari ilivyoletwa hapa.hayo yakupigwa Na polisi sikuyaona hapa Kama unahabari kamili ya tukio anzisha thread yako ueleze huo ukweli. Otherwise naona umedandia treni kwa mbele.
 
Ukitoa habari toa zenye uhakika si kupotosha watu,

Acha umbeya
 
engejisalimisha polisi haya yote yasingetokea maskini akili za kuzidisha pombe nazo ?? shetani anakuwa karibu sana...rip
Hata kama asingeenda polisi bado angeweza kuokoa roho yake. Ni kweli shetani napombe ni majirani!!
 
MFANYABIASHARA wa Arusha anayemiliki kampuni ya Tanzania Bush Camp yenye kambi za watalii katika hifadhi za Serengeti mkoani Mara na Manyara iliyopo katika mikoa ya Arusha na Manyara, Timoth Mroki (36) amejiua kwa kujipiga risasi tatu kifuani akiwa katika baa maarufu ya Arusha Raha iliyopo eneo la Shams, jijini hapa.
CHANZO: Habari Leo
Hii kweli ni 'full' utata, anajipiga risasi tatu kifuani? Kwani kwa hali ya kawaida inaonyesha kuwa ni 'automatic pistol' yenye uwezo wa 'burst fire' hivyo risasi zilitakiwa ziwe zimeisha wakati wa kujihami mwanzoni vinginevyo alikuwa na 'magazine' za ziada au alipigwa risasi..
 
msalimie bilionea yule aliyekuwa anawatatua marinda wake za watu Arusha (aliyekuwa anamiliki SG resort) na bilionea bob sembeke naye msalimie...pumzika bilionea mnywaji wa valuuu
 
Hii kweli ni 'full' utata, anajipiga risasi tatu kifuani? Kwani kwa hali ya kawaida inaonyesha kuwa ni 'automatic pistol' yenye uwezo wa 'burst fire' hivyo risasi zilitakiwa ziwe zimeisha wakati wa kujihami mwanzoni vinginevyo alikuwa na 'magazine' za ziada au alipigwa risasi..

Ni utata mtupu
 
Kwa wanaomfahamu huyu kaka amejipiga risasi mida hiiii,,,,,eti wanadai sababu ya kujipiga risasi ni kusababisha ajali,,,haiingii akilini kabisa

timothy.jpg
 
Back
Top Bottom