Mfanyabiashara ajiua kwa risasi baa, polisi wachunguza

Mfanyabiashara ajiua kwa risasi baa, polisi wachunguza

Waendesha bodaboda Wa Arusha wanatembea na masime hivyo walikuwa wanataka kumdhuru na hilo likapelekea Mroki kujipiga risasi
 
Arusha iko shida sana tu ingawa wenyewe watakuja na maneno lukuki lakini attitude za vijana na lifestyle isipobadilika jipangeni kuweka tanga la kudumu hapo mnara wa Azimio!!!!

hii post yako iko very simple lakini ina uzito mkubwa sana....attitude za vijana wa arusha zisipobadilika tutayaona haya kila siku....watakuja hapa kama ulivyosema na maneno yao wanaona ujanja kumbe ni ulimbukeni tu na vibastola vyao.
 
Daah, yani hii issue ilikua ni ndogo sana iwapo angepata akili ya kukimbilia polisi mapema.

Valuu hiyo Lateni.. Maamuzi aliyoyafanya yalikuwa influenced na pombe hiyo kali.. Rest panapokustahili marehemu..
 
Last edited by a moderator:
mbona alikuwa na kesi ndogo sana kuliko hata ya mh. chenge/R.I.P sometimes life has means
 
Arusha utoaji vibali vya silaha umekua mrahisi sana! Baa Arusha pakizuka kaugomvi kila mwenye nayo anatoa yake.

Yaani maumivu ya risasi ya kwanza akamudu kujiongezea na zingine 2? Hao wa baa ya Arusha Raha (kwanza huwa panakaa watu wa 'shaka-shaka' sana pale) wanapaswa wasaidie zaidi upelelezi. Hasa aliemuuzia pombe.
 
kesi ilikuwa ndogo sana kugonga tu gari,anyway rip bro

Mkuu, isije ikawa kuna ishu nyingine iliyopelekea kujitoa uhai aka take advantage ya hilo tukio. Ngoma tusubirie watu wa karibu watiririke. RIP mtanganyika mwenzetu.
 
Kumbuka unapoenda kuchukua uamuzi wa kumiliki silaha siyo tu kwaajili ya kupambana na adui bali pia hata kukuua wewe na kumuua hata mkewe/mpenzi kama Pistoriuos.
 
Waendesha Bodaboda ni janga. Ni jeshi baya ambalo serikali imelitengeneza bila kujua. Hawakawii kujichukulia sheria mkononi.

R.I.P. Mroki

kweli ni bomu baya madai ya serikali ni ajira ya vijana.. wakati wameua viwanda vyooote!
 
Kwa mfululizo wa vifo vya mabilionea nchi yetu baada ya miaka kumi itakuwa na upungufu wa MABILIONEA.....
 
Kumbuka unapoenda kuchukua uamuzi wa kumiliki silaha siyo tu kwaajili ya kupambana na adui bali pia hata kukuua wewe na kumuua hata mkewe/mpenzi kama Pistoriuos.

Ni kweli kabisa...usipokua makini unajikuta unajiangamiza mwenyewe au familia yako
 
shem ameamua kujipeleka mwenyewe kwenye ziwa liwakalo moto ajirest in fire huko aliko
waanasema mshahara wa dhami ni mauti kajipeleka mwenyewe
Valuu hiyo Lateni.. Maamuzi aliyoyafanya yalikuwa influenced na pombe hiyo kali.. Rest panapokustahili marehemu..
 
Bilionea wa ngapi katika miaka miwili, mbona vifo vinawatafuna sana, billione wa dar wao wako safi hawana mapresha, mie naona wakikaribia kutwa bilionea wahame waje Dar kwenye neema.
 
Back
Top Bottom