Mfanyabiashara ajiua kwa risasi baa, polisi wachunguza

Mfanyabiashara ajiua kwa risasi baa, polisi wachunguza

Hawa waleta habari za Arusha wananitia kichefu chefu sana. Ina maana mfanya biashara yoyote wa Arusha ni bilionea? Kila kitu bilionea? Bilionea!!.#@&#%_%@&@ mnaudhi sana eroo. Mi Arusha kwetu na inaniudhi sana hii kitu "bilionea" imeshakuwa kama vimaneno vya kiswahili tu.
 
Bastola yake alikuwa anaimiliki kihalali?

Sent from my WhiteBerry using JamiiForums
 
kutokujitambua huku... huwezi ukakimbia traffic case hata siku moja. angejiendea polisi tu jamn. huwezi kufungwa kwa traffic case ila angekua responsible kwa matumizi mabaya ya silaha kwa kutishia kuua
Kutishia kuua kwa kufyatua risasi hewani? ?!!!
Watu ni wengi na wako agressive nadhani ilikuwa ni "deterrent shooting" kujilinda na mob justice zaid kuliko kutishia kuua!!!

Bado alikuwa na utetezi mzuri tu nadhani
 
Very true, vijana wanafanya bidii kuzisaka wakishazipata hata sio nyingi kivile sijui nini kinawaingia akilini, wanakuwa vichaa kabisa. Shida sana kwa kweli.

Hili swala la kumiliki silaha hasa kwa vijana wa Arusha lazima serikali liliangalia upya, nakumbuka hata Mh lema amekwisha lihusia hili swala bungeni.
poleni wafiwa!!!
 
Very true, vijana wanafanya bidii kuzisaka wakishazipata hata sio nyingi kivile sijui nini kinawaingia akilini, wanakuwa vichaa kabisa. Shida sana kwa kweli.

Jamani wenzetu wa Arusha pafika mahali muwe wakweli juu ya vifo vya hao mnaowaita mamilionea : mbona wanakufa kwa risasi na sababu zinazotolewa haziingii akilini? ebu fikiri ni nani anaweza kujiua kwa ajili ya traffic case ? na nyie mnamwita ni milionea yaani kwamba hakuwa anajua kuwa adhabu yake ni kulipa faini ambayo haizidi lak 2 ? mpaka kaamua kujiua? semeni tu kauwawa ndiyo tutaelewa

Tatizo kubwa la nchi hii ni kwamba tuliowapa dhamana ya kutulinda mh!!!!!!!! ???????????????????? yaani ni Mungu tu ndiyo kasimama upande wetu !
 
Hawa waleta habari za Arusha wananitia kichefu chefu sana. Ina maana mfanya biashara yoyote wa Arusha ni bilionea? Kila kitu bilionea? Bilionea!!.#@&#%_%@&@ mnaudhi sana eroo. Mi Arusha kwetu na inaniudhi sana hii kitu "bilionea" imeshakuwa kama vimaneno vya kiswahili tu.

Nadhani watu wame crem,,

mtu yeyote anaemiliki silaha kwao ni bilionea

nao watoa vibali vya silaha wamekuwa kama watoa leseni ambavyo zinatolewa mtu hata hajui kuendesha gari lakini leseni anakuwa nayo.

All in all R.I.P,
pole wafiwa hasa watoto ( kama alikuwa nao).
 
Back
Top Bottom