Kwa watu msiojua Arusha tatizo kubwa ni utamaduni wa pale na vijana masikini wakipata pesa nyingi wanabadilika na kuweka u cowboy wa hali ya juu. Kila kijana ana bastola kama vile ni sifa, kujitambatamba kwingi sana na kushindana kwingi sana. Hii inaweka utaduni wa kujihatarisha maisha. Vijana waliokufa bila sababu za msingi mabilionea Arusha ni wengi ikiwa ni pamoja na Nyaga, Msuya, Bob Sambeki n.k