Mfanyabiashara ajiua kwa risasi baa, polisi wachunguza

Mfanyabiashara ajiua kwa risasi baa, polisi wachunguza

Kwani Mkuu ukijipiga Mara moja tu unakufa hapo hapo?

Ukijipiga moja hata hiyo pistol lazima ikutoke mkononi kabla ya kuongeza nyingine. Kujipiga risasi 3 mwenyewe sio kitu rahisi.

Tiba.
 
Mabillionea wa Arusha wana pukutika tuu!
 
Mmh kitaalamu huyo jamaa had some confusions; unajua si kila mtu anafanya maamuzi kwa immediate problem sikubaliani na hili kutakuwa na real problem behind the scine ndy maana akaona kwamba has nothing to live in this crazy world. Kama mtu mzima hata kama unafuatwa na watu wengi kuna njia positive za kusolve tatizo na kumbe according to Kamanda hakuua ila aliharibu bampa. Jamani tusilimbikize matatizo vichwani mwetu!! Hii brain inapofail kufanya maamuzi Id, ego and super ego hufanya yao.
 
Usiseme hivyo, mwombe Mungu akuepushie, maana huyu kaka hakuwa mjinga hata kidogo, alkuwa na akili, hatujui nini imempata

Basi atakuwa alirogwa maana aliposababisha ajali alitakiwa kuripoti kituo cha polisi kwa hatua za awali lakini akakimbilia baa ndio maana namshangaa.
 
kweli ni bomu baya madai ya serikali ni ajira ya vijana.. wakati wameua viwanda vyooote!

Na kilimo cha mazao ya biashara kimekufa! hakuna pamba, mkonge, chai, buni na mengine!
Mkiniambia waafrika tuna akili nabisha !
Miaka 50 toka tumfukuze adui mkoloni ni majanga! Hata alichotutengenezea tumekiua! Sijui tumelogwa na nani
 
kwa taarifa niliyoipata jamaa alikuwa na mali ndaninya gari pamoja na pesa
na hakujiua bali ....
kuna uwezekano aliuawa,so polisi chunguzeni hilo swala
 
Back
Top Bottom