Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,354
- 18,628
Huu ndio utaratibu unaotakiwa, sio kukwapuaJeshi la polisi mkoa wa Mwanza linapenda kutoa taarifa kuwa leo tarehe 15.05.2025 majira ya saa nne asubuhi huko mtaa wa Buguku, kata ya Buhongwa, wilaya ya Nyamagana, limemkamata na linaendelea kumhoji Diana Edward Bundala ambaye pia hujitambulisha kwa jina la Mfalme Zumaridi, miaka 42, mkazi wa mtaa wa Buguku, kata ya Buhongwa, ambaye ameyageuza makazi yake kuwa kanisa, anatuhumiwa kuendesha shughuli za kidini bila usajili pamoja na kufanya mahubiri kwa waumini wake kwa sauti ya juu katika eneo hilo ambalo ni makazi ya watu na kusababisha usumbufu kwa majirani wanaoishi karibu na makazi yake.
Aidha, mwanamke huyo anahojiwa kuhusiana na taarifa inayoendelea kusambaa katika mitandao ya kijamii akionekana kwenye picha mjongeo akiwa na kundi la watoto wenye umri mdogo wa jinsia ya kike na kiume akiwaeleza kuwa yeye ndiye Mungu wao ambaye ana uwezo wa kuwatenganisha na kifo.
Uchunguzi kuhusiana na tukio hili unaendelea, Jeshi la polisi katika uchunguzi huo litashirikiana na taasisi nyingine za serikali; hivyo linawaomba wananchi wenye taarifa mbalimbali zinazoweza kusaidia uchunguzi wa tuhuma hizi wafikishe kwa Jeshi la polisi. Uchunguzi utakapokamilika hatua za kisheria zinazostahili zitachukuliwa.
View attachment 3334876
Jirani nasikia ni Waziri fulani....ndio maana vita ni kubwa.Jeshi la polisi mkoa wa Mwanza linapenda kutoa taarifa kuwa leo tarehe 15.05.2025 majira ya saa nne asubuhi huko mtaa wa Buguku, kata ya Buhongwa, wilaya ya Nyamagana, limemkamata na linaendelea kumhoji Diana Edward Bundala ambaye pia hujitambulisha kwa jina la Mfalme Zumaridi, miaka 42, mkazi wa mtaa wa Buguku, kata ya Buhongwa, ambaye ameyageuza makazi yake kuwa kanisa, anatuhumiwa kuendesha shughuli za kidini bila usajili pamoja na kufanya mahubiri kwa waumini wake kwa sauti ya juu katika eneo hilo ambalo ni makazi ya watu na kusababisha usumbufu kwa majirani wanaoishi karibu na makazi yake.
Aidha, mwanamke huyo anahojiwa kuhusiana na taarifa inayoendelea kusambaa katika mitandao ya kijamii akionekana kwenye picha mjongeo akiwa na kundi la watoto wenye umri mdogo wa jinsia ya kike na kiume akiwaeleza kuwa yeye ndiye Mungu wao ambaye ana uwezo wa kuwatenganisha na kifo.
Uchunguzi kuhusiana na tukio hili unaendelea, Jeshi la polisi katika uchunguzi huo litashirikiana na taasisi nyingine za serikali; hivyo linawaomba wananchi wenye taarifa mbalimbali zinazoweza kusaidia uchunguzi wa tuhuma hizi wafikishe kwa Jeshi la polisi. Uchunguzi utakapokamilika hatua za kisheria zinazostahili zitachukuliwa.
View attachment 3334876
Inaonekanaa afungamani na chama Chao Cha CCM ndio maana wanampaa tabu sanaaa mjasiriadini huyu..Au sio CCM maana siku hizi wakiona ufagilii CCM nyumba za ibada inakuwa kijiwe nongwa cha kizimkazi mama abduli
Mkuu,safi kumkamata " mfalme mungu"?Unataka wapigwe radi?Safi sana
Bado si Utaratibu. Walitakiwa Kukamilisha Uchunguzi ndo wamkamate. Hapo wanaomba wananchi wasaidie uchunguzi.Huu ndio utaratibu unaotakiwa, sio kukwapua
Tunakumbatia vitu amavyo vinatrudisha nyuma wazungu wakija kuona kiwanda cha nyama kimwekuwa sehemu ya ibada. Tunaishi maisha ambayo ulaya ilipitia miaka 400 iliyopita. Leo hii wako serious na utamaduni wao wa utu na ubinadamu.Mbona mwamposa hakamatwi?
Kwani kuna tofauti kati yao???
Anapocheza haruki sana na kukanyaga wenzake.Anajali steps.Mbona mwamposa hakamatwi?
Kwani kuna tofauti kati yao???
Alikutwa na wadogo wa kike na kiume wasio wake kwenye makazi yake kama huyo Zumaridi?Mbona mwamposa hakamatwi?
Kwani kuna tofauti kati yao???
Aliwaita kwa nguvu??Alikutwa na wadogo wa kike na kiume wasio wake kwenye makazi yake kama huyo Zumaridi?