Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,595
- 215,272
Moulay Ismail Ibn Sharif ndiye mtu mwenye watoto wengi kuliko wote Duniani. Alikuwa ni mfalme wa Morocco kuanzia miaka ya 1672 hadi 1727.
Alikuwa na watoto waliosajiliwa 867 kati ya hao watoto wa kiume walikuwa 525 na wa kike 342 Lakini ukijumlisha na watoto ambao hawakusajiliwa ni 1042 lakidi baada ya kufariki idadi ya watoto wake iliongezeka idadi na kufika watoto 1171.
Mfalme huyo alikuwa na wanawake 500. Alitawala kwa miaka 55 ambao ni muda mrefu zaidi kwa historia ya Sultan wa Morocco