Mfalme Moulay wa Morocco ndiye binadamu aliyewahi kuwa na watoto wengi zaidi hapa duniani

Hawajui vizuri Waarabu wewe, hawanywi pombe starehe yao kubwa ni kujenga nyumba nzuri, kuoa mke mzuri, kula vizuri na kujamiiana.
Nyaru-sare kasema kweli? hakuna binadamu anaweza kulala na wanawake 500 au 700 (Mfalme Daud)
kinachofanyika Mfalme au huyoo mwanamume anayejiita rijali, anapenda kuonjaonja kila kipya na akishampitia ina maana mzunguko wake hata alale na wanawake wa2 kila siku atajamrudia baada ya mwaka mmoja, hao wanawake wanatembea na watoto wakubwa wa Mfalme na walinzi wao, mtoto akizaliwa ndani ya boma ni wa Mfalme na ukimuangalia mtoto hata DNA hahitajiki ni hawafanani kabisa.
Huku kwetu Bara kabila la wanyambwa tajiri ng'ombe huwa na wanawake zaidi ya 30, Baba hao wake zake anasaidiwa na watoto waliobalehe, wakati yeye akiwa kwenye mizunguko ya mama wengine
Nina ushahidi wa Majina ya matajiri hao na watoto wao
 
Hata hivyo mbegu zingine alimwaga nje au hazikuota.

Mshindo mmoja una mbegu zaidi ya milioni.

Chakateni papuchi.
Elimu bure na matibabu
 
ni kweli kabisa huyu Mfalme ni noma, kila siku alilamba bikra 7 kwa miaka 14 ya balehe alilamba bikra 37,000 katika wakazi 120,000
je ni kweli hesabu hiyo??
maana alilamba robo ya wakazi wa jinsia zote
au alilamba nusu ya wanawake wa kisiwa chote
 
Shida ni kwamba sisi hatujatia mhuri wa ndoa... Ila kama ni rekodi ya kuchomeka naweza kumuacha parefu sana..... Naamini hata wewe pia
Kaka Mshana Jr hapa kwenye kuloweka ulikuwa unatumia nn kujisafisha ili kuondokana na nuksi,laana na mikosi ya hao ulikuwa unashiriki nao tendo
 
Back
Top Bottom