Mfalme Charles wa Uingereza anasimikwa kitini Mei 5

Mfalme Charles wa Uingereza anasimikwa kitini Mei 5

Watanzania wengi ni wagonjwa, eti mlevi moja anajitokeza kusema kwamba he is not my king[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Eti mfalme wa Uingereza huko ndo kawazuia watanzania kupata katiba yao mpya [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Hivi ni kwanini USA sio member wa hiyo jumuia ya madola wakati na yeye alitawaliwa na Muingereza?
Jumuiya ya madola ni umoja wa hiyari, sio lazima uwe mwanachama. Pia unaweza kupewa uanachama hata kama hukutawaliwa na Uingereza, mfano Rwanda.

Pia sio sahihi sana kusema USA walitawaliwa na Uingereza au unaweza kusema ukoloni wa USA, Canada, Australia, na New Zealand ulikuwa tofauti , kumbuka wazungu wa Uingereza waliohamia huko kama settlers wakiwafuta wenyeji na wakichuka maeneo ya wenyeji bado walikuwa raia kamili wa Uingereza. Tatizo lao kubwa ilikuwa ni kukosa wawakilishi wao katika bunge la Uingereza huku wanatozwa kodi kama raia wengine waliowaacha nyumbani Uingereza.
 
Commonwealth realms ni muunganiko wa nchi 14 zilizopo chini ya Ufalme wa Uingereza. Hizi ni nchi ambazo Mkuu wa Nchi yao (Japo ni ceremonial tu) ni Mfalme, kiongozi wa Serikali ni Waziri Mkuu.

Nchi hizi ni kama Uingereza yenyewe, Canada, Australia, Grenada, n.k. Hawa ndiyo wana haki ya kusema "he is not my king" kwa kuwa kodi zao zinatumiwa na Ufalme.

Commonwealth countries ni Muunganiko wa nchi 56 (ukitoa Uingereza) ambazo nyingi zake zilikuwa chini ya Ukoloni wa Uingereza (Nchi nyingine kama Rwanda, Togo, n.k. hayakuwa makoloni ya Uingereza).

Sasa hapa ndiyo kuna nchi kama Tanzania, Kenya, Uganda, n.k. Lengo la Muungano huu ni kutumia Ushawishi wa Uingereza (na Ufalme wake) kupata fursa mbalimbali kama attention juu ya changamoto wanazozikabiri, misaada, faida za kibiashara, n.k.

Hizi nchi hazipo chini ya Ufalme wa Uingereza, sema zinatumia Ushawishi wa Uingereza kufaidika lakini pia Uingereza inaendeleza ushawishi wake kwenye masuala kama ya Demokrasia, n.k.

Raia wa Commonwealth countries hamna haki ya kusema "he is not your king" kwa kuwa hakuna kodi yoyote anayoitumia kutoka kwenu. Nyie ndiyo mnafaidika naye zaidi.
Kama unatumia ushawishi wake kupata unayoyataka ,that means u can't get something without him!na hapo ndipo kutawaliwa kwa Mara nyingine .hiyo common wealth Haina maana !! kwani wakiungana nchi 56 hawawezi kuwa sauti mpaka waungane na ku surrender kwa UK ,ati wasemewe kwa mataifa yenye nguvu huu ni upuuzi kabisa,so Nini maana ya umoja ni nguvu .yaani watu wanaungana ili wawe na sauti Cha ajabu wanaungana na kupiga magiti kwa mtu mwingine yeye awe ndo spokes man wao ,stupid idea!!
 
Kwa akili hizi ndiyo maana kipaumbele cha Lowassa kilikuwa:
01: Elimu
02: Elimu
03: Elimu
 
Back
Top Bottom