Mfalme Charles wa Uingereza anasimikwa kitini Mei 5

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
104,319
Reaction score
183,611
Bendera za nchi zote za Jumuiya ya Madola Tanzania ikiwemo zitapeperushwa Kwenye Gwaride rasmi

Swali ni je Marais wa Africa watapewa au wameandaliwa usafiri gani?

Juzikati Rais Ruto alilalamika Kuwa siyo fair Marais wa Africa kupandishwa Kwenye Basi moja wanapokuwa Ulaya

Jumaa kareem
 
Huyo mfalme ndo anaenda kuuzika ufalme rasmi maana hakubaliki na nchi nyingi za jumuiya ya madola zinataka kumtoa huyo mfalme kama mkuu wa nchi zao wakiongozwa na Jamaica
 
Hizo Bendera zinapeperushwa sio kwamba ni za nchi za madola bali nchi zilizomo chini ya himaya ya Ufalme dhalimu wa Muingereza. Ni Ukoloni Mamboleo chini ya mwamvuli wa Jumuiya ya Madola.Yaani zinaonyesha ni wapi walipokuwa na madaraka juu ya Serikali na Watu wake....kwa King-Eleza wanaitwa, kwa sasa na baada ya kusimikwa rasmi, King's Subjects! Yaani sie tu vibaraka wake!

Sioni sababu yeyote ile yenye tija kwa Nchi yetu kubakia katika Jumuiya hii ya Madola. Najua, huyu mfalme ndio kikwazo kikubwa cha sisi Watanzania kupata Katiba Mpya, kwani bila ridhaa yake haya ya Katiba mpya tuyasahau.
Naamini tukijiondoa kutoka katika Jumuiya hii itakuwa rahisi kuendelea na Mchakato wa kupata Katiba yetu iliyo huru.

He is not My King.

Hatuna haja ya kwenda kule tukadhalilishwa tena, hatahivyo bendera yetu kupeperushwa, pia, ni Udhalilishishaji tosha.
 
Bora marais wa afrika waende nao tuwaone kwenye mwendokasi za huko.

Waafrika tunapuuzwa sana na hatukomi
 
Hizo Bendera zinapeperushwa sio kwamba ni za nchi za madola bali nchi zilizomo chini ya himaya ya Ufalme dhalimu wa Muingereza. Ni Ukoloni Mamboleo chini ya mwamvuli wa Jumuiya ya Madola.Yaani zinaonyesha ni wapi walipokuwa na madaraka juu ya Serikali na Watu wake....kwa King-Eleza wanaitwa, kwa sasa na baada ya kusimikwa rasmi, King's Subjects! Yaani sie tu vibaraka wake!

Sioni sababu yeyote ile yenye tija kwa Nchi yetu kubakia katika Jumuiya hii ya Madola. Najua, huyu mfalme ndio kikwazo kikubwa cha sisi Watanzania kupata Katiba Mpya, kwani bila ridhaa yake haya ya Katiba mpya tuyasahau.
Naamini tukijiondoa kutoka katika Jumuiya hii itakuwa rahisi kuendelea na Mchakato wa kupata Katiba yetu iliyo huru.

He is not My King.

Hatuna haja ya kwenda kule tukadhalilishwa tena, hatahivyo bendera yetu kupeperushwa, pia, ni Udhalilishishaji tosha.
We are not among the Commonwealth realms! Ufalme wa Uingereza hauhusiki na uamuzi wowote unaofanywa na nchi ama viongozi wetu!
 
Basi utuambie maana halisi ya Jumuiya ya Madola. Na ni nani mwenye madaraka ya Nchi zilizomo ndani ya Jumuiya hiyo? Je, katika Nchi hizo zinaweza kufanya maamuzi: kama kupata Katiba mpya bila ridhaa ya Jumuiya? Nani Mkuu wa Jumuiya?
He is not my King.
Tung'oke tu huko. Kuwepo kwetu ni kwa mkakati wa Kibeberu wa Uingereza. In short it is Just an agreement that UK will bolster our Security[Social-political &Social economic] and Governance from other imperialistic Countries and or Nations! In other words Ati ndio kana chombo cha kutesemea(advocacy group) dhidi ya mataifa mengine yenye nguvu kuliko sie, chini ya mwamvuli wa "Supremacy" ya Mfalme! aidha kwenye Umoja wa Mataifa au Kwingine pale. Yaani ni kujisimika kuwa sie ni "Wanyonge"

Tuwe wakweli na kuangalia ni nini haswa kilichopeleka kuanzishwa kwa Umoja huu na kutizama kwa undani kama kweli Tija zilizoorodheshwa haziwezi kupatikana nje ya Umoja huo - Ukiondoa Ubeberu wa Mwingereza na Rasilimali zetu-kuna sababu gani nyingine ya Sisi kuwemo humo?

Na ujibu, Je, tunaweza pata Katiba mpya bila ya Ridhaa ya Mfalme ambaye ndie Mkuu na mwenye madaraka ya Umoja huo?

Asante
 
Yutong zina wasubiri wazee wa dark continent waka pande
Kama sikosei, unataka kutuaminisha ni Afadhali kupanda mabasi ya Mwingereza au Mzungu badala ya ma' Lorry' ya Mchina. I find that comment as a typicall White Supremacy school of thought.[Sentiment]
Vita zenu muache huko huko hamna haja ya kutuingiza katika vita zenu kwa kutubeza. Haiwasaidii. Na mkumbuke mlitutifua huko nyuma wakati mnatwangana kutugombania....na Rasilimali zote zinazodondokea chini ya Tafsiri ya Rasilimali.
 
Basi utuambie maana halisi ya Jumuiya ya Madola. Na ni nani mwenye madaraka ya Nchi zilizomo ndani ya Jumuiya hiyo? Je, katika Nchi hizo zinaweza kufanya maamuzi: kama kupata Katiba mpya bila ridhaa ya Jumuiya? Nani Mkuu wa Jumuiya?
He is not my King.
Tung'oke tu huko. Kuwepo kwetu ni kwa mkakati wa Kibeberu wa Uingereza. In short it is Just an agreement that UK will bolster our Security[Social-political &Social economic] and Governance from other imperialistic Countries and or Nations! In other words Ati ndio kana chombo cha kutesemea(advocacy group) dhidi ya mataifa mengine yenye nguvu kuliko sie, chini ya mwamvuli wa "Supremacy" ya Mfalme! aidha kwenye Umoja wa Mataifa au Kwingine pale. Yaani ni kujisimika kuwa sie ni "Wanyonge"

Tuwe wakweli na kuangalia ni nini haswa kilichopeleka kuanzishwa kwa Umoja huu na kutizama kwa undani kama kweli Tija zilizoorodheshwa haziwezi kupatikana nje ya Umoja huo - Ukiondoa Ubeberu, kuna sababu gani nyingine ya Sisi kuwemo humo?

Na ujibu, Je, tunaweza pata Katiba mpya bila ya Ridhaa ya Mfalme ambaye ndie Mkuu na mwenye madaraka ya Umoja huo?

Asante
Commonwealth realms ni muunganiko wa nchi 14 zilizopo chini ya Ufalme wa Uingereza. Hizi ni nchi ambazo Mkuu wa Nchi yao (Japo ni ceremonial tu) ni Mfalme, kiongozi wa Serikali ni Waziri Mkuu.

Nchi hizi ni kama Uingereza yenyewe, Canada, Australia, Grenada, n.k. Hawa ndiyo wana haki ya kusema "he is not my king" kwa kuwa kodi zao zinatumiwa na Ufalme.

Commonwealth countries ni Muunganiko wa nchi 56 (ukitoa Uingereza) ambazo nyingi zake zilikuwa chini ya Ukoloni wa Uingereza (Nchi nyingine kama Rwanda, Togo, n.k. hayakuwa makoloni ya Uingereza).

Sasa hapa ndiyo kuna nchi kama Tanzania, Kenya, Uganda, n.k. Lengo la Muungano huu ni kutumia Ushawishi wa Uingereza (na Ufalme wake) kupata fursa mbalimbali kama attention juu ya changamoto wanazozikabiri, misaada, faida za kibiashara, n.k.

Hizi nchi hazipo chini ya Ufalme wa Uingereza, sema zinatumia Ushawishi wa Uingereza kufaidika lakini pia Uingereza inaendeleza ushawishi wake kwenye masuala kama ya Demokrasia, n.k.

Raia wa Commonwealth countries hamna haki ya kusema "he is not your king" kwa kuwa hakuna kodi yoyote anayoitumia kutoka kwenu. Nyie ndiyo mnafaidika naye zaidi.
 
Watu wamechoka ufalme
Screenshot_20230505-181516.png
 
Huyo mfalme ndo anaenda kuuzika ufalme rasmi maana hakubaliki na nchi nyingi za jumuiya ya madola zinataka kumtoa huyo mfalme kama mkuu wa nchi zao wakiongozwa na Jamaica
Kwamba wewe upo informed kuliko Historians wa UK na wananchi wa UK eti?
 
Mambo ya ufalme sijui King 👑 yamepitwa na wakati.
 
Back
Top Bottom