Steven mushi mushi
JF-Expert Member
- Jul 25, 2016
- 533
- 741
Aukate wa nn sasa wakati kile ni kiburudisho chake akiwa kwenye heatMkuu samahani,hivi tembo jike akikasirika anaweza kukata uume wa bwana ake?
Aukate wa nn sasa wakati kile ni kiburudisho chake akiwa kwenye heatMkuu samahani,hivi tembo jike akikasirika anaweza kukata uume wa bwana ake?
Hebu tupe tofauti uliyoionaMbona tembo wa Manyara wana utofauti wa rangi na tembo wa Ngorongoro crater?
Hebu tupe tofauti uliyoiona
Kuna mtu kaelezea hapo juu. Post namba 27

Meno yao hutumika kutengenezea daga pamoja na vitu vya urembo nchini Yemen ambavyo garama yake ni kubwa na kule nchini yemen mtu akiwa na daga iliyotengenezwa kwa malighafi ya meno huonekana kuwa ni mtu tajiri na huheshimika sana katika jamii but all in all we should protect our wildlife for future generationsMeno ya tembo yanatumika kufanyia nini maana mbona wanauliwa kisa meno yao?
Mkuu hapa kidogo uko wrong. Kwenye ishu ya simba wakubwa kupotezwa na uwindaji wa jamii za kimaasai na kuwa "ilikuwa" huwezi kuwa morani mpaka uue simba dume.nshu ya ukubwa hii hutokana na gene za mnyama husika.
ni kweli tembo wa ngorongoro na ruaha hawa huwa na maumbo makubwa kulinganisha na tembo wa maeneo mengine na huwa nasikia tembo wa mikumi huwa na umbo dogo zaidi kuliko wengine.
hata zamani kulikuwa na simba wakubwa ila walimalizwa kwa kuwindwa na jamii za kimasai kutokana na nshu ya kuwa Moran ni mpaka umuue simba dume.
nimekusoma mkuu.Mkuu hapa kidogo uko wrong. Kwenye ishu ya simba wakubwa kupotezwa na uwindaji wa jamii za kimaasai na kuwa "ilikuwa" huwezi kuwa morani mpaka uue simba dume.
Ni kweli, idadi kubwa na specie nyingi za simba zilipotea kutokana na "trophy" hunting of the Big Five ambayo kea kipindi hicho mnyama aliekuwa "most prized trophy" alikuwa ni Sharubu/Simba. Kuhusiana na wamaasai kuwawinda, hii ilikuwa "sanasana" ni pale ambapo simba kavamia zizi na yeyote atakae rusha mkuki wa kwanza ndio anaepata heshima ya kupewa mkia wa simba. Ni mara chache sana ulifanyika uwindaji wa kukusudia/ule wa kwenda na kumuua simba. Na pamoja na uwindaji huo na ule wa kulinda dhidi ya mashumbulizi endelevu ya mifugo yao, sidhani kama ulikuwa ni kiasi cha kuwapunguza simba kwa idadi kubwa vile.
Mkuu nina plan kufanya project fulan kuhusiana na hawa viumbe naomba tuwasiliane jamaa yangu 0715365934.Huyo ndiye tembo. Kama una swali lolote kuhusiana na tembo usisite kuuliza nami nitakujibu kama inavyotakiwa.
Mfano mzuri (na m'baya tukiangalia madhara yake) wa trophy hunting ni hii kesi ya hivi majuzi kati ya 2015/2016 ile ya kuuliwa kwa simba Cecil yule aliekuwa iconic attraction ya Hwange National Park in Zimbabwe.nimekusoma mkuu.
nilikuwa nsha sahau kama ata huwa kuna nshu ya trophy.
Akiri yako fupi km msukule wa Lumumba Barbarosa huyu jamaa akiri yake anaijua yyMwandiko mbaya hauvutii kusoma
Mkuu umeniwahi,nami nilitaka kufahamu haya pia.Mkuu hebu tufafanulie zile task zake kwa kiswahili fasaha huitwaje?
ni meno ya tembo, pembe za tembo au ndovu na je nisahihi tembo kumuita ndovu?
asante kwa elimu hii.....Huyo ndiye tembo. Kama una swali lolote kuhusiana na tembo usisite kuuliza nami nitakujibu kama inavyotakiwa.
Kina cha feri kinaweza kuwa kidogo kwake... . ..mtaalam tukimaliza ya Tembo utupe na ya nyangumi maana kwa uzito(190t) aliokuwa nao anaweza akaja feri ghafla na kugeuka akayarusha maji yakafika mpaka magomeni na akaondoka kwa kasi ya bombadia....
Kuna tofauti mkuuuu.....Task zile ni meno ya mbele upande wa juu yaliyobadilika na kuwa katika mfumo wa pembe kwa kiswahili fasaha yale ni meno ya tembo na siyo pembe. Ukimwita tembo au ndovu ni sawa yote ni majina yake