Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,744
- 25,447
Alikuwa Vizuri But Is Not Fair Kumfananisha Sir Issack Newtom Na Einstee coz Hao Watu Ni Hatarim n
Nicolas tesla mkuu akamsomeSijaona kama Tesla dunia hii
Kama Newton ni average nitajie mwana physics yoyote alie juu ya Newton kwenye Classical mechanics..Si kweli..Newton alikua average
Madesa hayapandiKasi ya mwanga kusimamisha muda nimetoka kapa kwa kweli
Kama Newton ni average nitajie mwana physics yoyote alie juu ya Newton kwenye Classical mechanics..
Newton ndio father of classical mechanics
Nimetoka kapaaaa kweli madesaa hayapandiMadesa hayapandi
Nicolas tesla mkuu akamsome
Mkuu nimekuuliza kwenye classical mechanics ni mwanaphysics gani yupo juu ya Newton ili Newton awe averageMkuu
Newton kagundua vitu very basic ila muhimu...Newton hakua prodigy,hakua genius....alikua average ila alikua na juhudi kubwa sana ya kupiga msuli...Hiyo inajulikana!
Mkuu,magenius ni wale walikua wanafunga macho wanaona picha nzima ya dunia na mathematical equations na kila kitu ndio wanaandika na wakija ku-pruvu ni kweli..The likes of Tesla,Einstein na wale Wahindi,na Wajerumani..
Mzee,acha kabisaaa!
Mkuu nimekuuliza kwenye classical mechanics ni mwanaphysics gani yupo juu ya Newton ili Newton awe average
Kama kupiga msuli hakuna anaemzidi Tesla hapo mpaka baba yake akatumiwa barua za kuombwa amtoe mwanae shule otherwise atakufa
Ukiwa akili kubwa unaelewaKasi ya mwanga kusimamisha muda nimetoka kapa kwa kweli
Nicola Tesla ndio baba lao wote.Alikuwa Vizuri But Is Not Fair Kumfananisha Sir Issack Newtom Na Einstee coz Hao Watu Ni Hatarim n
Kweli.. Tesla ni mashine nyingine mkuuSijaona kama Tesla dunia hii